Basi nahisi JF imekumbumbwa na gonjwa la Janga la Kujihisi!
Niliwah andika uzi... Nikisema " wanawake wa JF kuwen makini humu,"
Mule ndan nikaandika sana namna wanaume wanavyotumia mbin ,anakuziga yupo shinyanga et atakusafiria kumbe mpo naye Dar na tabata iyo iyo...
Lkn weeee kuna mtu alifura sana akahisi nmemsema yeye .. Bahat nzur kila kitu chao uko kwa maPM lazima kinifikie.. Ilo likapitaa.
Nyuzi zangu kuna wakat najitoa ufaham ti Naandika kuhusu suala la waawake kufanya biashara ya ngono mtandaoni , then mtu fulan anakuchukia bila sababu .
Sasa kumbe nikagundue watu wanapenda kusikia yale wanayoyafurahiaaa.
Ilo sio dogo,, mimi NACHUKIA SAN NA KWA NGUVU ZANGU ZOTE MWANAMKE KUCHEPUKA UWE UMEOLEWA AU MPENZI WAKO NACHUKIA NA NITAENDELEA KUCHUKIA...... hapa napo watu nikiandika wanahisi nawasema waooo.
Matokeo yake, zinatafutwa mbinu zakila aina kuninyamazisha ?[emoji23][emoji23][emoji23]..
Sasa watu wanamna hiyo wanavyokuka kuniattack kisa maudhui yangu niwafanyaje kama sio namm kuwaumbua tuu?? Kwakweli nitaendelea kumuumbua yoyote atakayeniletea ujinga ,subirin nirudi !!
Sasa ndo hayo yanayofanya watu waseme "Putiiin mubayaaa, putin mjingaaa ,sijui nn"
Aaahhhh ukijali yaJF yako..namm nitajali yaJF yangu .