Mrejesho wa hisia zangu(My soulmate Vladmirovich Putin)

Mrejesho wa hisia zangu(My soulmate Vladmirovich Putin)

Aaahhhh sawa , basi sawa mkuu ..soga zenu zijikite katika masuala yenu binafsi nyinyi wenyewe , naamin mnayo mengi eehhh but katika yote hayo Nisingependa kuona Neno lolote liwe baya au zuri kumhusu Vlad putin .

Jikiten katika mambo yenu nyinyi tuu.

Veri simpo iyoo au sio?
Sasa hutaki kuongelewa kwa zuri wala baya?
Sasa mbona umemshukuru bidada kwa upendo?
Maana kakuongelea kwa uzuri!
 
Wewe umemshaur vema kabisaa , Wala hasiangaike kuwaaminisha kitu, Waamin wasiamin Shauri zao !! ..

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waone kwanza , ningekua mtoto mimi Africa P , angenipenda?? Kwanza nihiv hawajui ..mtoto piniiiiiiiiii yaan piniiiiii kisu kikaliiiiiiiiii mzuriiiiiiiii yaan mzuriiiiiii alafu anashule kichwan na anakazi yakeee


Alafu msela mimi nipo nipo tuu hahahaha
Watu wa humu hujawazoeaga tu kwani???

Wasione umechutama eti umepuuuu, pyeeeeeeee
 
Busara zangu umeziona wapi?
Mi nina pumba tu
Karibu,uje kwa Wema!
Maana hamkawii kuja kuanzisha uzi sijui Jf mademu wabaya kama mabundi!

daaah unaona sasa yani kuna mafala mafala yanatuponza saana daah
 
Basi nahisi JF imekumbumbwa na gonjwa la Janga la Kujihisi!
Niliwah andika uzi... Nikisema " wanawake wa JF kuwen makini humu,"

Mule ndan nikaandika sana namna wanaume wanavyotumia mbin ,anakuziga yupo shinyanga et atakusafiria kumbe mpo naye Dar na tabata iyo iyo...

Lkn weeee kuna mtu alifura sana akahisi nmemsema yeye .. Bahat nzur kila kitu chao uko kwa maPM lazima kinifikie.. Ilo likapitaa.

Nyuzi zangu kuna wakat najitoa ufaham ti Naandika kuhusu suala la waawake kufanya biashara ya ngono mtandaoni , then mtu fulan anakuchukia bila sababu .

Sasa kumbe nikagundue watu wanapenda kusikia yale wanayoyafurahiaaa.

Ilo sio dogo,, mimi NACHUKIA SAN NA KWA NGUVU ZANGU ZOTE MWANAMKE KUCHEPUKA UWE UMEOLEWA AU MPENZI WAKO NACHUKIA NA NITAENDELEA KUCHUKIA...... hapa napo watu nikiandika wanahisi nawasema waooo.

Matokeo yake, zinatafutwa mbinu zakila aina kuninyamazisha ?[emoji23][emoji23][emoji23]..


Sasa watu wanamna hiyo wanavyokuka kuniattack kisa maudhui yangu niwafanyaje kama sio namm kuwaumbua tuu?? Kwakweli nitaendelea kumuumbua yoyote atakayeniletea ujinga ,subirin nirudi !!

Sasa ndo hayo yanayofanya watu waseme "Putiiin mubayaaa, putin mjingaaa ,sijui nn"


Aaahhhh ukijali yaJF yako..namm nitajali yaJF yangu .
 
Hahahahah nmechelewa kuusoma uzi lkn kadr nlvokuwa nasoma ilinbid niscroll tena juu niangalie n nan kaandika..... Mwandiko ule ule dadek..... [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom