Mrejesho wa maamuzi yangu binafsi

Mrejesho wa maamuzi yangu binafsi

Zombie Sikutaji Humu Eeh

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2024
Posts
228
Reaction score
667
Baada ya kuleta uzi ambao nilieleza ya moyoni na wengi walipiga mawe, wengine wali nifananisha na baadhi ya watu humu japo kuwa mimi hata kwaa id nyingine sijawahi kujibu au kueleza chochote au kujifananisha na chochote kuhusu swala langu (Nipo kimya sana humu na comment fupi au kulike tu most of time)

Uzi huu hapa

Niponipo sijui woga, uzembe au ni nini? Nishaurini kwenye hili nisije haribikiwa

Nimepigwa ban huko siwezi kulike wala kufuta wala kuandika chochote sababu wanajua wenyewe mods

Last hapa nilitaka kusema baada ya kufikiria na kujiposition mwenyewe na nimeamua kufanya haya

Nitaacha kuangalia video za ngono (wengi wamesema hio ndio sababu kuu) japo jana ndio niliangalia baada ya kujituliza for 2 days na leo hii pia nitatizama mara ya mwisho then nitaamua kujipumzisha

Baadhi ya member walisema pia niache nyeto ilaaaa siwezi sababu nipo single na sina muda wa kutongozana kama hivi nimerud nipo ndani tu sio rahisi kuacha ila nitapunguza angalau for 2 weeks mara moja au kwa mwezi mara mbili au tatu the more nitazoea ndio nitakavyozidi kujiweka huru

Last ni kwamba muda wote mawazo mabaya yakinijia(ma shemale) nitajisemea moyoni shindwa pepo mimi ni mwanaume (japo nikiwa na cheki zile movie huku najikuchua huu hujasiri sina)

Vizuri hua najipa imani maaana sija athirika kwa kufanya punyeto kila siku hua ni navukisha siku moja au mbili

Mbili sio muda wote nawaza kuhusu ngono

Ahsante kwa wote walio nipa ushauri au kunikejeli na pia ninyi mlio nifananisha na wewe uliokuja PM huna adabu shenz
Nikishikwa na shida tena nitarudi jamvini

Ila leo nataka tu kujua njia njema ya kujiepusha na haya majaribu
 
We nae hutaki dem tu unatafuta visingizio....eti huna muda wa kutongoza utadhani unatongoza kama babu yako hadi kwamba bibi anachuma majani karibia adondoshe mti.

Emoji tano tu unapata dem, kama hata emoji hauwezi sema mi nijitoe muhanga nikuchukue.
 
We nae hutaki dem tu unatafuta visingizio....eti huna muda wa kutongoza utadhani unatongoza kama babu yako hadi kwamba bibi anachuma majani karibia adondoshe mti.

Emoji tano tu unapata dem, kama hata emoji hauwezi sema mi nijitoe muhanga nikuchukue.
Unavibe hebu nichukue unistiri 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom