sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Nikili yakuwa lile tangazo nililoliweka jukwaa ili limenipatia picha Kamili ya vijana waliomo humu wengi yakuwa hawajui maana ya matumizi ya mitandao.
Nitaeleza vyema naomba mnielewe na msome andiko hili na mwelewe vyema sio Kila mtu anae weka tangazo humu anakuwa anataka akuchunguze na kukujua wewe kama ulivyodhania
Nikiweka Bango la kutaka vijana wenye uwezo wa kufanya kazi ya Debt collection katika vyama vya ushirika kwa maana saccos mikoa ya Mbeya, Kilimanjaro, Mbeya na Iringa nikaweka na Sifa zinazo takiwa na nikawambia walio tayari wanichek Dm.
Nikili yakuwa nilipokea dm zaidi ya 40 zilizotaka nitoe jinsi ya kuwawezesha kupata hizo fursa
Sikuwa na hiyana nilitoa email na kati hao nilio wataja 22 walituma cv zao zimepokelewa ingawa zinachangamoto za pale na pale kwa maana nyingine zina guarantor AMBAO hawajahuishwa hawapatikani hii ni ya kawaida inarekebishika, ingawa haifai kujitokeza maana sisi wengine tunacheki na maguarantor kabla ya mlengwa.
Wengine wametuma cv pasipo vyeti Sasa ndugu kwani nani alikwambia copy ya cheti chako yaweza leta shida? Itume plz for vetting(muhimu kwetu)
Hizi mbili hapo juu sio mbaya na hazikunyimi fursa na sisi ila ya mwisho ndio imenifanya niandikie Uzi huu
Vijana kumi wanasema hawawezi disclose taarifa zao kwetu kwani wanaogopa kijulikana!
Nitoe elimu kidogo hapa kwenu mliopo JF na mnakosa fursa kwa sababu ya uwoga wenu huo ni ujinga na upumbavu wa Hali ya juu Sanaa.
Kwa Nini upo JF na jina bandia?unatumia jina bandia Ili utukane mtu uishi kwa mashaka? Kama unachokiandika JF ni ukweli mtupu inashida gani na mfumo wa nchi hii? Hivi hujui kuishi maisha ya wasi wasi unapunguza siku za kuishi? Hivi unajua maana ya JF au upo upo tu?
Hata Mimi nilie weka tangazo nimemtumia jina bandia hata ningekupa fursa ya kufanya kazi a Mimi ungenijua kwa jina la sifi Leo tu mwanzo wa kazi mpaka mwisho, hata wewe ulie ambiwa utume cv ungetuma kwa jina bandia na ujaniambia wazi Mimi nisingekuwa na shida nakupa kazi ikifika pahala panapo onesha umuhimu wa kujua tunajua tu na life linasonga.
Nitoe ushuhuda, Mimi tangu nimejiunga JF Kuna sehemu nyingi nimekutana na staff na managing director wa JF sehemu nyingi sana na picha tunapiga nao ikifika wakati wa majina naiandika sifi Leo, niwatoe tongo tongo vijana jf ni jukwaahuru unnaweza pishana na gunia la hela kisa upuuzi wenu.
Mwisho niwambie I wale mlio tuma cv na mpo tayari tutawasiliana nanyi, na hakuna malipo yyte mtatakiwa kulipa Wala kutozwa Ili upate kazi na pale ulipoombea ndiko ukako pelekwa jambo la msingi mjue tu before anything lazima tukufanyie vetting kidogo maana shughuli tunazo zifanya ni za umma,we need a clean people.
Wale mlio sema hamwezi jidiskroze, hide your self Kila la kheri, vijana badilikeni Ili muondoe mentality za kijinga mpate fursa unless otherwise......... Mchelea mwana...........
Nakushukuru mkurugenzi wa JF maana nilipata shida kutokana na mabooresho ya Jamii Forums, uliitafta ukaniambia nikutafte utanisaidia ila nilifurah uliniuliza swali Ili
''je naweza nikakuamini tukakutana Dar ukanisaidia pasipo kujua au kutambuana?'' mwisho wa kunukuu,
NAMI nilikujibu hivi
Nakuamini mkuu na Mimi na wewe tumeisha kutana mara nyingi na unijui hata kidgo nitafika utanisaidia nitaondoka''nilifika kama sifileo ukaniudumia sikuwa na shida na wewe na Sasa nipo JF na enjoy!