Mrejesho wa tangazo la kuhitaji vijana wa kazi nimeamini vijana wengi waliopo JF hawajui umuhimu wa Jamii Forums

Mrejesho wa tangazo la kuhitaji vijana wa kazi nimeamini vijana wengi waliopo JF hawajui umuhimu wa Jamii Forums

Umeambiwa ukweli ujifunze kuandika unaleta ujuaji umlipe amekwambia anataka pesa?
Hata ilo tangazo la ajira inaonesha nyinyi maboss ni vichwa maji
Kaandika kama yeye na sio kama wewe uonavyo,lengo ni kufikifisha ujumbe na umeeleweka.
 
Umesomeka, mkuu ila hakuna kazi unaipata paspo vetting naisi hujui maana ya vetting. Kazi hii ni kazi hutaki kufanyiwa vetting kakae na mkeo na hata yeye akiwa akili hatokubali uwe bae bira vetting tatzo nmezoea sjui vetting au mmekalili kuwa vetting udanywa na hao basi subilia wao

Jitahidi kutulia ukiwa unaandika.
 
Nitoe elimu kidogo hapa kwenu mliopo jf na mnakosa fursa kwa sababu ya uwoga wenu huo ni ujinga na upumbavu wa Hali ya juu Sanaa.
Kwa Nini upo jf na jina bandia?unatumia jina bandia Ili utukane mtu uishi kwa mashaka?kama unachokiandika jf ni ukweli mtupu inashida gani na mfumo WA nchi hii? Hivi ujui kuishi maisha ya wasi wasi unapunguza siku za kuishi?hivi unajua maana ya jf au upo upo tu?
Umewatukana mpa JF walioruhusu nicknames humu
 
Mleta mada amebakwa akili hata kuandika hovyo. Eti RILE NIRIROLETA.
Umbwa
 
Nipo tayari kukulipa kwa kazi mbili,moja kunifundisha kuandika pili........
Mkuu mimi nimesoma hadi katikati ya andiko lako.
Nataka nikuulize swali moja kabla sijaendelea kusoma.
Wakati huo unawaomba hao vijana cv na nakala za vyeti je wewe ulijitambulisha kwamba naitwa fulani,natokea kampuni fulani na cheo changu ni hiki?
 
eeeehee yaani wewe usiojua kutofautisha r na l pia unawatukana wenzio.

Nani huyo bwege wa kuomba kazi kwako, hebu pita huko
Hajui tofauti kati ya r na l halafu ndio meneja huyo wa kampuni fulani na inamtegemea,itakuwa ni meneja wa zile kampuni za kutembeza vyombo
 
Nipo tayari kukulipa kwa kazi mbili,moja kunifundisha kuandika pili........
Ndg yangu sina tatizo na wewe lakini mtu akisoma mwandiko wa hovyo hovyo anakosa imani na wewe.
Naomba kabla hujawalaumu watu hebu fanyia kazi uandishi wako.
Pia unaweza kimpa sekretari wako akuandikie na akurushie whatsapp na wewe u copu na ku paste himu.
 
Back
Top Bottom