Mrejesho wa tangazo la kuhitaji vijana wa kazi nimeamini vijana wengi waliopo JF hawajui umuhimu wa Jamii Forums

Umeambiwa ukweli ujifunze kuandika unaleta ujuaji umlipe amekwambia anataka pesa?
Hata ilo tangazo la ajira inaonesha nyinyi maboss ni vichwa maji
Kaandika kama yeye na sio kama wewe uonavyo,lengo ni kufikifisha ujumbe na umeeleweka.
 

Jitahidi kutulia ukiwa unaandika.
 
Umewatukana mpa JF walioruhusu nicknames humu
 
Mleta mada amebakwa akili hata kuandika hovyo. Eti RILE NIRIROLETA.
Umbwa
 
Nipo tayari kukulipa kwa kazi mbili,moja kunifundisha kuandika pili........
Mkuu mimi nimesoma hadi katikati ya andiko lako.
Nataka nikuulize swali moja kabla sijaendelea kusoma.
Wakati huo unawaomba hao vijana cv na nakala za vyeti je wewe ulijitambulisha kwamba naitwa fulani,natokea kampuni fulani na cheo changu ni hiki?
 
eeeehee yaani wewe usiojua kutofautisha r na l pia unawatukana wenzio.

Nani huyo bwege wa kuomba kazi kwako, hebu pita huko
Hajui tofauti kati ya r na l halafu ndio meneja huyo wa kampuni fulani na inamtegemea,itakuwa ni meneja wa zile kampuni za kutembeza vyombo
 
Nipo tayari kukulipa kwa kazi mbili,moja kunifundisha kuandika pili........
Ndg yangu sina tatizo na wewe lakini mtu akisoma mwandiko wa hovyo hovyo anakosa imani na wewe.
Naomba kabla hujawalaumu watu hebu fanyia kazi uandishi wako.
Pia unaweza kimpa sekretari wako akuandikie na akurushie whatsapp na wewe u copu na ku paste himu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…