Mrejesho wa tangazo la kuhitaji vijana wa kazi nimeamini vijana wengi waliopo JF hawajui umuhimu wa Jamii Forums

Bosi anagubu sana sijui kama atadumu na wafanyakaz
 
Kusema ukweli kama kuandika tu hujui tuna mashaka na wewe na elimu yako, maana huu mwandiko hata darasa la 6 B ana afadhali au ni kampuni ya shemeji yako unamdalalia kutafuta wafanyakazi, kuandika tu ni sifuri hatuna imani na wewe usitufokee,,,,
 
Mleta mada vijana hawana njaa wana wazazi wao wengine wana dada zao na shemeji zao.
Wewe endelea na walio serious usiwafundishe samaki kuogelea.
 
Nyie maboss mbuzi mnazingua Sana , privacy ya mtu ni muhimu ,au nyie ndio vishoka WA vyeti feki mnataka kuvuna vyeti vya watu mtumie kwenye magumashi yenu sio ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…