Mrejesho wanajamvi kuhusu vidonda vya tumbo

Saws kaka
 
Je dawa niliyokuandikia jana usiku umeitumia au umepuuza kisha unaanzisha mada nyingine?
 
Naifahamu dawa ambayo inatibu kabisa Vidonda vya tumbo,yaani inabaki historia!

Mwenye uhitaji anicheki ili iandaliwe mapema!

Dawa siitoi bure kwasababu kuitengeneza inachukua muda na materials pia kuzipata ni Changamoto!
Mkuu ni vyema ungeweka hapa kuliko kuanza kuuza sio uungwana yaani pesa ndio ikufanye hivyo shame broh
 
Bei

Shilling ngapi.
Isiwe kundi la wale Madoctor wenye kampuni🙏.
Maana tumepigwa vya kutosha
 
Sawa kaka tatizo kwenye vyakula vya kula ndio nawaza aisee naomba uniorodheshee asubuhi mchana na jioni
Asubuhi kula mikate au maandazi yasiyo na Amira nyingi mchana kula vyakula visivowekwa nyanya kula saa 7mchana usiku kula ubwabwa lakini uive vizuri pendelea sana kula matunda ya ndizi na parachichi
 
Bei

Shilling ngapi.
Isiwe kundi la wale Madoctor wenye kampuni🙏.
Maana tumepigwa vya kutosha
Mkuu niamini mimi,achana na matapeli wa mitandaoni,kama unataka TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO YA UHAKIKA wewe niambie!

Mimi utanichangia elfu 10 tu ya kukusaidia kukupa maelekezo nini ufanye,najua utapona kabisa na utaleta hapa mrejesho!

Ukiona ni ngumu kuandaa,basi mimi nitakuandalia kwa Elfu 50!
 
Sasa huu ni mrejesho au muendelezo?
 
Mkuu ni vyema ungeweka hapa kuliko kuanza kuuza sio uungwana yaani pesa ndio ikufanye hivyo shame broh
Mkuu hawa Watanzania waliovurugwa ndiyo uwasaidie bure 😂!

Ngoja nibaki na hiyo "SHAME ON ME" lakini siwezi kumsaidia mtanzania Bure!

Pia kutoutoa ujuzi Bure inamuongezea umakini mgonjwa na atapambana kuiandaa ili atumie maana kaitolea hela!

Hakuna kitu cha Bure mkuu hata mimi nilitoa hela kipindi napitia changamoto ya Vidonda,tena aliyeniuzia ni mama yangu mkubwa,toka nitoke na mama yangu mzazi!

Hadi leo Vidonda vya tumbo kwangu imebaki historia !
 
Vidonda vya tumbo huwa vinapona , sema vina tabia ya kurudi ukizingua kwenye kuzingatia ratiba ya chakula na usafi pia !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…