Mrejesho wanajamvi kuhusu vidonda vya tumbo

kunywa uji w ngano!
kifupi vidonda huwa aciponi ni management tu inabakia
 
Tumia pilipili kichwa, najua wengi watachukulia mzaha ushauri huu Ila huo ndio ukweli
 
Asubuhi kula mikate au maandazi yasiyo na Amira nyingi mchana kula vyakula visivowekwa nyanya kula saa 7mchana usiku kula ubwabwa lakini uive vizuri pendelea sana kula matunda ya ndizi na parachichi
Sorry kaka hivi azam embe au juice Ile ya tunda zinaruhusiwa maana Sasa hivi sigusi kinywaji chochote aisee
 
Sema huu muandiko ni vile tu unaumwa vidonda vya tumbo. Lakini huu muandiko haueleweki
 
Tafuna karafuu kila siku kikamilifu utashangaa maajabu.
 
Mimi natowa kinga ya vidonda vya tumbo ukitaka visikupate hakikisha mwili wako una Alkaline ya kutosha vidonda kwako ni historia, hata mgonjwa wa vidonda vya tumbo pia atumie formula hiyo.

Hakiki gas na acid havizi tumboni mwako.

Antioxidant nzuri ukishakula kunya glasi ya maji ya uvuguvu uliyokamulia limao hata glasi mbili.

Asubuhi kama huwa unakunywa chai jenga utamaduni wa ku kukamulia limao kipande kimoja, huwezi kusumbuliwa na vidonda.

Wenye access kama una ndugu duniani agizeni vidonge vya Acid controller huwezi kupata vidonda vya tumbo.

Mimi sasa hata pilau nakula bila shida, soda pepsi nakunywa, machungwa tu ndio nimeacha kabisa kwa sababu Citric acid siyo nzuri.
 
Hakuna shida mkuu ntakutafuta
 
Limao nalo si asidi mkuu?
 
Kwanza unatakiwa kujua hivyo vidonda vinasababishwa na na Nini Kama nivile vyabkuambukiza, unaweza kujitibu kwa antibiotics peke yake na sii vinginevyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…