Ugumu unkuja hapo kwenye iscipline maana wakati mnachat mtaongelea tuu mambo ya kugegedana mwishowe mkikugana yaani mnajikuta mnaongelea mambo ya kuvuana chupi.... Sasa inakuwa ngumu kutomgegeda.Ndo maisha yalivyo sasa hivi, mahusiano ya kimtandao ni ngumu sana aisee.
Inabidi kuwe na self discipline kama kweli mnataka kuchunguzana, pia uwazi uwe wa kutosha.
Mmh hayaSiyo wote wapo kama wewe Demi nakuja huwa hukasiriki hata iweje! Kilichokuongezea uvumilivu ni. Vile una mme tayari. Wasokuwa na waume huwa wanaluzi tempa haraka hasa akiwa na ntoto. Tumvumilie tu, akipata atakuwa sawa.
Quality mamaa!Upungufu wa k ukoje Baba J
Ishii wew si una mtoto bado unaogopa kuingiliwa kingono mpk ulete kutangaza hapa...?? Unaonesha ulivyo kapuuzi hivi kila ukiomba papuchi unatangaza boya kabisa..Mnamo mwaka jana mwezi wa 8 nliweka tangazo la kutafuta mume humu ndani nikarudia tena February mwaka huu, nilipata pm nyingi nyingi tu na nlizijibu kadri ya uwezo wangu.
Nilibahatika kuonana na wakaka wa wawili, hawa ni watu wazima kidogo miaka yao kuanzia 35 na kuendelea wa kwanza tulikutana magomeni tukaongea kupeana basic intro, wa pili tulionana alikuja mitaa ya nyumbani.
Ila hao wote nikiri tu walikuwa wanasisitiza ngono, muingiliano kimwili hata hatujajuana kivile na baadhi ya vitu hatujafahamiana wala kujuana tukaishia hewani.
Kwa kifupi ni kuwa humu kutafuta mume huwezi pata zaidi ya sex partner wanaume ni kama vile wanakuwa wanawinda wanawake, anyway kibongo bongo online dating bado sana, najiandaa kesho kwenda equity bank kufungua akaunti na kujiunga na online transactions nilipie dating sites za mambele huko naamini nitapata mume na nitaleta mrejesho humu.
Nadhani mtajiuliza wht online si mnajua tena single maza ubusy na nini na nini.
Haha haya bhanamost people here posting that they need a man or a woman ni mchezo
[emoji23] [emoji23] NikifaSidhani kama amemaanisha hivyo, anachosema yeye wengi wanataka tendo wakati hata hawajafahamiana vizuri... Hivi mwanaume mmekutana mtandaoni meeting ya kwanza ya pili unavua chupi? Lazima mpeane muda wa kufahamiana kwanza aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmh lie [emoji1787][emoji1787]Sio wote wanao weka ngono mbele...kuna mdada nilikutana naye huku mwaka jana wala siku mvua pichu ingawa yeye alikua willing kabisa....alikua muongo nikaona nisimvue pichu.
Lingekuwa bandiko lako hili halafu mtu anakuja na comment kama yako ungejisikiaje?Shangazi.
Kwanza shikamoo.
[emoji3][emoji3]Anaona umri unaenda tu na hakuna dalili.
Kinachoshangaza mtaani kote na ibadani kwenye shughuli zake eti kakosa. Hadi ahangaike mitandaoni.
Kuna shida mahala me naona.
Kwa hiyo ukifa baada ya kuzini itakusaidia nini au mwenzio uliyemwacha?
Ukila hela ya mwanamke jifunge kibwebwe! Hao akina amu Wana mipesa yao ila ni silka ya mwanamke kuwa bahili na akikupa hela yake kwanza adhabu yako kuzama chumvini na kukuweka dole
Lord have mercy!!!
Sasa hivi kuna wadada wana vipato vya juu hatari, yaani kuna wanawake wanakunja 5mil+ kwa mwezi, wao wanachokosa ni kidume wa kuwapa furaha. Na sisi tukishaona mwanamke ana hela nyingi huwa tunaogopa coz wanakuwa na hulka za ku-bully.
mwanaume kumlambisha hayo makitu ni kumdhalilisha! Lakini wakijileta wape adhabu ya kukinyonya kinyeo!Mkuu siku nikiwa na pesa nitafurahi sana.
Mimi mwenyewe nategemea hela za wanaume [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] halafu chumvi ni starehe bana toka lini ikawa adhabu?
Sent using Jamii Forums mobile app
mwanaume kumlambisha hayo makitu ni kumdhalilisha! Lakini wakijileta wape adhabu ya kukinyonya kinyeo!
Ahahahahah leo nitakuita uje CHINA BAR
Uliza mwanaume anayejitambua akueleze! Mwanamke kutamka tu kuwa ninyonye ashakudharau ile mbaya! Ukiona mwanaume anakubali kunyonya mwanamke jua alishainamishwa au ashakuwa Mario alipokuwa mdogo hivyo alinyanaswa kijinsiaWewe jamaaa unanifanya nicheke aiseeee.
Wenzako wa nalilia kulba wenyewe wewe unasema wanadhalilishwa? Embu acha kuwasemea wanaume wenzio bwana
Sent using Jamii Forums mobile app