FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Mwanamke mmoja tu mwenye sifa hiyo duniani, mwanamke Bora kuliko wote duniani, nae ni Mariam mama yake Yesu Kristo.Stress zitakuua wewe Bibi ,
Menopause imekufika bado unabanduliwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mwanamke mwengine duniani mwenye sifa hiyo labda uwe poyoyo tu ndiyo uamini kuwa kuna mwanamke mwengine "single mother", kama mama'ko alikudanganya kuwa yeye ni "single mother" basi elewa alikuwa anawapanga mstari wanaume na kachanganyikiwa haelewi wewe akupachike kwa nani na ndiyo maana kila mwanamme anaeingia kwenu unaambiwa mwamkie baba'ko.