Mrejesho wangu wa tangazo la kutafuta mume humu

Stress zitakuua wewe Bibi ,

Menopause imekufika bado unabanduliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke mmoja tu mwenye sifa hiyo duniani, mwanamke Bora kuliko wote duniani, nae ni Mariam mama yake Yesu Kristo.

Hakuna mwanamke mwengine duniani mwenye sifa hiyo labda uwe poyoyo tu ndiyo uamini kuwa kuna mwanamke mwengine "single mother", kama mama'ko alikudanganya kuwa yeye ni "single mother" basi elewa alikuwa anawapanga mstari wanaume na kachanganyikiwa haelewi wewe akupachike kwa nani na ndiyo maana kila mwanamme anaeingia kwenu unaambiwa mwamkie baba'ko.
 
Kaulize wewe na ulete mrejesho hapa ila ukome kuwafanya wenzako asusa wa maimamu
Ulitaka ufanywe wewe asusa?

Huo ni ushauri mwema kabisa niliompa bure, anaetaka kuolewa hajalalamika, vipi wewe unalalamika, na wewe unatafuta mume?
 
Hivi akaunti yako imedukiwa? Itakuaje mwislamu kama wewe unaandika maneno ya kikafiri kama haya! Lini uliona mwanaume kama mimi anaolewa? Tubu dhambi ili umrejee mola wako
 
Kafuate kale kadada kachawi kashirikina kama humu ndani jinsi kanavyotupatiaga wanaume. Kachawi kakubwa kare katakufa kifo kibaya cha haibu. Kiko humu na kiko online nakiona

"My pain may be the reason for somebody's laugh,but my laugh must never be the reason for somebody's pain"

Charlie Chaplin
 
Hawakukupenda tu. Endelea kupambana lazima utapata. Ila badala ya online tu kwann usiwekeze pia muda kidogo kwenye jamii kama social clubs, travelling, swimming n. K? Huko ni rahisi zaidi kutengeneza marafiki.
 
Pole sana mpenzi. I know how you feel. Huku jf ni changamoto haswaa.

Honestly baada ya kuandika story yangu hapa ya kinyongo nilijuta pm. Yaan mtu anakuja na nasty words mpaka unashangaa unajiuliza huyu amenionaje? Very flirty. Nilikua najisikia vibaya balaa. Hata kama ulitaman mchukulia mtu serious basi unajikuta unamshusha thamani. Mtu hata hujamuona lakini hayo maneno mpaka kichefuchefu. Wengine hatujalelewa hivyo jamani mutuhurumie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnamo mwaka jana mwezi wa 8 nliweka tangazo la kutafuta mume humu ndani nikarudia tena February mwaka huu, nilipata pm nyingi nyingi tu na nlizijibu kadri ya uwezo wangu.

Nilibahatika kuonana na wakaka wa wawili, hawa ni watu wazima kidogo miaka yao kuanzia 35 na kuendelea wa kwanza tulikutana Magomeni tukaongea kupeana basic intro, wa pili tulionana alikuja mitaa ya nyumbani.

Ila hao wote nikiri tu walikuwa wanasisitiza ngono, muingiliano kimwili hata hatujajuana kivile na baadhi ya vitu hatujafahamiana wala kujuana tukaishia hewani.

Kwa kifupi ni kuwa humu kutafuta mume huwezi pata zaidi ya sex partner wanaume ni kama vile wanakuwa wanawinda wanawake, anyway kibongo bongo online dating bado sana, najiandaa kesho kwenda equity bank kufungua akaunti na kujiunga na online transactions nilipie dating sites za mambele huko naamini nitapata mume na nitaleta mrejesho humu.

Nadhani mtajiuliza wht online si mnajua tena single maza ubusy na nini na nini.
Uaijisumbue mpaka kwenda equity sijui kufungua account, si ulipie kwa mpesa au airtel master card? Unafail wapi
 
Halafu ukute anaswali sala 5 hahaha huwa nasema wanaojiita wafia Dini Ni watu wa kuogopa zaidi ya shetani
Hivi akaunti yako imedukiwa? Itakuaje mwislamu kama wewe unaandika maneno ya kikafiri kama haya! Lini uliona mwanaume kama mimi anaolewa? Tubu dhambi ili umrejee mola wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi akaunti yako imedukiwa? Itakuaje mwislamu kama wewe unaandika maneno ya kikafiri kama haya! Lini uliona mwanaume kama mimi anaolewa? Tubu dhambi ili umrejee mola wako
Jibu uliloulizwa acha kujishauwa...

Ulitaka ufanywe wewe asusa?

Huo ni ushauri mwema kabisa niliompa bure, anaetaka kuolewa hajalalamika, vipi wewe unalalamika, na wewe unatafuta mume?
 
Sidhani kama upo sawa mkuu, wanaume tupo come to me you won't regret
Mnamo mwaka jana mwezi wa 8 nliweka tangazo la kutafuta mume humu ndani nikarudia tena February mwaka huu, nilipata pm nyingi nyingi tu na nlizijibu kadri ya uwezo wangu.

Nilibahatika kuonana na wakaka wa wawili, hawa ni watu wazima kidogo miaka yao kuanzia 35 na kuendelea wa kwanza tulikutana Magomeni tukaongea kupeana basic intro, wa pili tulionana alikuja mitaa ya nyumbani.

Ila hao wote nikiri tu walikuwa wanasisitiza ngono, muingiliano kimwili hata hatujajuana kivile na baadhi ya vitu hatujafahamiana wala kujuana tukaishia hewani.

Kwa kifupi ni kuwa humu kutafuta mume huwezi pata zaidi ya sex partner wanaume ni kama vile wanakuwa wanawinda wanawake, anyway kibongo bongo online dating bado sana, najiandaa kesho kwenda equity bank kufungua akaunti na kujiunga na online transactions nilipie dating sites za mambele huko naamini nitapata mume na nitaleta mrejesho humu.

Nadhani mtajiuliza wht online si mnajua tena single maza ubusy na nini na nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmh website zinatofautiana sana. Ila za mambele utapata tu. Kwani pia ujue wapo wanaopenda video sex sana wenzetu sana tuu na.kuwatumia picha chafuu chafuu mnoo.. ila.ikumbukwe sio.wote walio hivyo.. hat hata hapa kwetu piaa ni ile ukijirahisisha my... mm ninaye wangu anatoka Canada ni mtu mzima sana.. kwani vijana wa online wao hutaka video sex tuuu.....
 
Mnamo mwaka jana mwezi wa 8 nliweka tangazo la kutafuta mume humu ndani nikarudia tena February mwaka huu, nilipata pm nyingi nyingi tu na nlizijibu kadri ya uwezo wangu.

Nilibahatika kuonana na wakaka wa wawili, hawa ni watu wazima kidogo miaka yao kuanzia 35 na kuendelea wa kwanza tulikutana Magomeni tukaongea kupeana basic intro, wa pili tulionana alikuja mitaa ya nyumbani.

Ila hao wote nikiri tu walikuwa wanasisitiza ngono, muingiliano kimwili hata hatujajuana kivile na baadhi ya vitu hatujafahamiana wala kujuana tukaishia hewani.

Kwa kifupi ni kuwa humu kutafuta mume huwezi pata zaidi ya sex partner wanaume ni kama vile wanakuwa wanawinda wanawake, anyway kibongo bongo online dating bado sana, najiandaa kesho kwenda equity bank kufungua akaunti na kujiunga na online transactions nilipie dating sites za mambele huko naamini nitapata mume na nitaleta mrejesho humu.

Nadhani mtajiuliza wht online si mnajua tena single maza ubusy na nini na nini.
Vipi huko ulikoenda ulishafanikiwa?

Hata hapa ungepata ulikata tamaa mapema tu. Wapo wengi wameoana kwa kufahamiana jukwaa hili hili. Nina ushahidi wa ndoa mbili zilizotokea jukwaa hili hili na Maisha yao yako vizuri.

Mwanaume kutaka sex siku hizi imeshakuwa kawaida sana lakini ukiwa mjanja na umempenda mtu na yeye amekupenda hamuwezi kushindwa kuelewana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mrejesho Vp
Umeshapata Ama Unaendelea Kufanya Searching.....
 
Back
Top Bottom