sjosh4
JF-Expert Member
- Apr 10, 2020
- 888
- 941
Atakuwa kwenye screening na vetting nahisiMrejesho Vp
Umeshapata Ama Unaendelea Kufanya Searching.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa kwenye screening na vetting nahisiMrejesho Vp
Umeshapata Ama Unaendelea Kufanya Searching.....
I normally shorten words during any informal communication otherwise when it comes to an official communication I know what is totally expected of me.
Leo nimejikuta niko humu sijui nimefikafikaje hahahhhhTena wakijua umezaa na unahitaji mume wanataka kukufanya kama sex machine yaani mtu anakosa ustaarabu, anyway mimi kuwa na mtoto si kigezo cha kufunuliwa na wanaume ovyo, kama tutaendana poa ila kama naona hatupo poa hapana aisee na inahitaji mda sana mpaka kufikia huko.
Nilijaribu 4yrs agoKweli kabisa Pakawa. Hiyo ya wewe kujaribu kudate humu sikumbuki hata chembe. Humu ni sawa na uraiani tu kuna kupata na kukosa. Halafu wengi wanaona aibu kusema mume/mke wake wamekutana humu sijui kwanini. Nakumbuka kuna bidada humu alialikwa na rafiki yake kwenye harusi na hao watarajiwa walikutana humu ila hawakupenda watu wajue kama walikutana JF.
Nilijaribu 4yrs ago
Mods waliifuta eti kwa vile nilisema najaribu bahati kwa hivi wakasema eti siko serious!hahahh
Niligombana nao wakairudisha lakini niliyokutana nayo was full of jokes uongo mwingi utoto mwingi nikaona huku sio
Sioni kwa nini mtu aone haya kusema alipata mwenza humu mbona ni sawa na wale wa makanisani bar club Facebook Instagram etc.
JF ni pazuri kama watu wangekuwa serious kidogo kha!
Aisee nimecheka sanaUkikuta mwanaume ana 35yrs na hajaoa jua kuna kitu hakiko sawa. Kwa huo umri ulouweka wa mwanaume unayemtaka ilikuwa obvious utafeli.
Hongera kwa kuwa makini navitombi wa humu jf.
Ukisikia sehemu kuna mafia wa mapenzi duniani basi jf inaongoza.
Kuna mdada humu ni single mama, aliweka uzi wa kutafuta mwenza kilichomkuta ni cha kusikitisha mnoo.
Alimpata jamaa mmoja, akajichanganya akamvulia chupi, akapachikwa mimba nyingine.
Kuja kufuatilia vzr kumbe jamaa kaoa na ana watoto 2.
Imagine tayari ww ni single mama na huna hata umri mkubwa ni just
Mimi mwenyewe kuna mdada humu aliwekaga uzi wa kutafuta mwenza enzi hizo.
Tukayajenga vzr kabisa, akanihakikishia hajawahi kuwa na serious relationship huko nyuma.
Baada ya mwaka nikaja kugundua ana watoto 3 tena mmoja mkubwa anakaribia kumaliza primary.
Trust me social medias/dating sites ni mahali pazuri pa kupatia mwenza endapo tuu utakuwa na akili na utatumia akili kuchakata mbivu na mbichi.
Huko dating sites unakoenda ndio unaenda kujichanganya mara mia zaidi ya humu jf.
Unless otherwise utachakatwa na uachwe solemba.
HONGERA SANA miminimama KWA KUWA OVER-CAUTIOUS NA MABAHARIA WA HUMU JF.
Unforgetable
Tatizo humu wengi wao wanawaza kufunuana tuNilijaribu 4yrs ago
Mods waliifuta eti kwa vile nilisema najaribu bahati kwa hivi wakasema eti siko serious!hahahh
Niligombana nao wakairudisha lakini niliyokutana nayo was full of jokes uongo mwingi utoto mwingi nikaona huku sio
Sioni kwa nini mtu aone haya kusema alipata mwenza humu mbona ni sawa na wale wa makanisani bar club Facebook Instagram etc.
JF ni pazuri kama watu wangekuwa serious kidogo kha!
HahaaaKwa maisha ya sasa,ugumu was maisha na ugumu wa pesa,kuhudumia mwanamke bila yakumchakata,hata shetani hawezi kua na moyo wa namna hii!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado
😂😂
😂😂😂😂
Sawa mchumba ..nakuja huko kutoa posa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimefurahi tu
😂😂😂
Hahahaha mbona unanikana hadharani tena ...kama haunitaki uniambie[emoji23][emoji23][emoji23]
Mchumba tena?