Mwanamke mmoja tu mwenye sifa hiyo duniani, mwanamke Bora kuliko wote duniani, nae ni Mariam mama yake Yesu Kristo.Stress zitakuua wewe Bibi ,
Menopause imekufika bado unabanduliwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaulize wewe na ulete mrejesho hapa ila ukome kuwafanya wenzako asusa wa maimamuTafuta Kanisa kamuulize mchungaji wa hapo kanisani.
Nilitamani nishushie mijitusi ila shukru Roho wa Bwana aliyenizuia.Unajua ulichokiandika? Umeelewa ulichoandoka? Kabla hujapost upuuzi soma na uelewe, kwahiyo nikisikia kitu kukisema hapo ndo uhukumu? Acha upuuzi dogo
😁😁😁😁😁😁kwahy hao wa mambele ndo hawatasisitiza kutaka hicho kiboga chako.?
Ulitaka ufanywe wewe asusa?Kaulize wewe na ulete mrejesho hapa ila ukome kuwafanya wenzako asusa wa maimamu
Hivi akaunti yako imedukiwa? Itakuaje mwislamu kama wewe unaandika maneno ya kikafiri kama haya! Lini uliona mwanaume kama mimi anaolewa? Tubu dhambi ili umrejee mola wakoUlitaka ufanywe wewe asusa?
Huo ni ushauri mwema kabisa niliompa bure, anaetaka kuolewa hajalalamika, vipi wewe unalalamika, na wewe unatafuta mume?
Uaijisumbue mpaka kwenda equity sijui kufungua account, si ulipie kwa mpesa au airtel master card? Unafail wapiMnamo mwaka jana mwezi wa 8 nliweka tangazo la kutafuta mume humu ndani nikarudia tena February mwaka huu, nilipata pm nyingi nyingi tu na nlizijibu kadri ya uwezo wangu.
Nilibahatika kuonana na wakaka wa wawili, hawa ni watu wazima kidogo miaka yao kuanzia 35 na kuendelea wa kwanza tulikutana Magomeni tukaongea kupeana basic intro, wa pili tulionana alikuja mitaa ya nyumbani.
Ila hao wote nikiri tu walikuwa wanasisitiza ngono, muingiliano kimwili hata hatujajuana kivile na baadhi ya vitu hatujafahamiana wala kujuana tukaishia hewani.
Kwa kifupi ni kuwa humu kutafuta mume huwezi pata zaidi ya sex partner wanaume ni kama vile wanakuwa wanawinda wanawake, anyway kibongo bongo online dating bado sana, najiandaa kesho kwenda equity bank kufungua akaunti na kujiunga na online transactions nilipie dating sites za mambele huko naamini nitapata mume na nitaleta mrejesho humu.
Nadhani mtajiuliza wht online si mnajua tena single maza ubusy na nini na nini.
Hivi akaunti yako imedukiwa? Itakuaje mwislamu kama wewe unaandika maneno ya kikafiri kama haya! Lini uliona mwanaume kama mimi anaolewa? Tubu dhambi ili umrejee mola wako
Bwana wee! Cc FaizaFoxyHalafu ukute anaswali sala 5 hahaha huwa nasema wanaojiita wafia Dini Ni watu wa kuogopa zaidi ya shetani
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu uliloulizwa acha kujishauwa...Hivi akaunti yako imedukiwa? Itakuaje mwislamu kama wewe unaandika maneno ya kikafiri kama haya! Lini uliona mwanaume kama mimi anaolewa? Tubu dhambi ili umrejee mola wako
Huo ni ushauri mwema kabisa niliompa bure, anaetaka kuolewa hajalalamika, vipi wewe unalalamika?na wewe unataka kuolewa?Halafu ukute anaswali sala 5 hahaha huwa nasema wanaojiita wafia Dini Ni watu wa kuogopa zaidi ya shetani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnamo mwaka jana mwezi wa 8 nliweka tangazo la kutafuta mume humu ndani nikarudia tena February mwaka huu, nilipata pm nyingi nyingi tu na nlizijibu kadri ya uwezo wangu.
Nilibahatika kuonana na wakaka wa wawili, hawa ni watu wazima kidogo miaka yao kuanzia 35 na kuendelea wa kwanza tulikutana Magomeni tukaongea kupeana basic intro, wa pili tulionana alikuja mitaa ya nyumbani.
Ila hao wote nikiri tu walikuwa wanasisitiza ngono, muingiliano kimwili hata hatujajuana kivile na baadhi ya vitu hatujafahamiana wala kujuana tukaishia hewani.
Kwa kifupi ni kuwa humu kutafuta mume huwezi pata zaidi ya sex partner wanaume ni kama vile wanakuwa wanawinda wanawake, anyway kibongo bongo online dating bado sana, najiandaa kesho kwenda equity bank kufungua akaunti na kujiunga na online transactions nilipie dating sites za mambele huko naamini nitapata mume na nitaleta mrejesho humu.
Nadhani mtajiuliza wht online si mnajua tena single maza ubusy na nini na nini.
Vipi huko ulikoenda ulishafanikiwa?Mnamo mwaka jana mwezi wa 8 nliweka tangazo la kutafuta mume humu ndani nikarudia tena February mwaka huu, nilipata pm nyingi nyingi tu na nlizijibu kadri ya uwezo wangu.