Mrejesho wangu wa tangazo la kutafuta mume humu

I normally shorten words during any informal communication otherwise when it comes to an official communication I know what is totally expected of me.

Mkuu ni vizuri ukaacha kuweka x kwenye c , sijui ila mimi kwa mtazamo wangu naona ni mambo ya kitoto, if i receive a message with words like that I normally delete it before i read the entire thing. Huwa naona there is nothing serious that can come out of that message.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Leo nimejikuta niko humu sijui nimefikafikaje hahahhhh
Anywho!
Dating ni task moja kubwa haina mjuzi

Wanaume na Wanawake wote tupo kwenye jahazi moja.
Shida kubwa ni maturity level
Kama mtu anachukulia kuzaa au kuwa na mtoto ni kikwazo basi maturity level yake bado ni ya kisekondari BAK Si ni kweli Mkuu au?!

Wapo Wajane Wagane wako divorcΓ©e divorced single never married ni maturity ya mtu na uhitaji wa mtu

Kuoa au kuolewa haijalishi as long as you are above 18 ruksa. Unaweza kuoa au kuolewa hata ukiwa na miaka 70+

Online dating zina changamoto lakini wapo legit people utafurahi na roho yako. JF waongo wengi utoto pia unachangia sana!

Nilijaribu humu nikaona ni mchezo wa kuigiza
You get what you pay for.... I encourage ujaribu other websites kama roho inapenda All the Best
 
Kweli kabisa Pakawa. Hiyo ya wewe kujaribu kudate humu sikumbuki hata chembe. Humu ni sawa na uraiani tu kuna kupata na kukosa. Halafu wengi wanaona aibu kusema mume/mke wake wamekutana humu sijui kwanini. Nakumbuka kuna bidada humu alialikwa na rafiki yake kwenye harusi na hao watarajiwa walikutana humu ila hawakupenda watu wajue kama walikutana JF.
 
Nilijaribu 4yrs ago
Mods waliifuta eti kwa vile nilisema najaribu bahati kwa hivi wakasema eti siko serious!hahahh

Niligombana nao wakairudisha lakini niliyokutana nayo was full of jokes uongo mwingi utoto mwingi nikaona huku sio

Sioni kwa nini mtu aone haya kusema alipata mwenza humu mbona ni sawa na wale wa makanisani bar club Facebook Instagram etc.

JF ni pazuri kama watu wangekuwa serious kidogo kha!
 
Pole sana, bado Watanzania kuanzisha serious mahusiano mtandaoni tuko nyuma kidogo ukilinganisha na baadhi ya Nchi duniani ambazo asilimia kubwa ya mahusiano yanaanzia mtandaoni na ni biashara kubwa sana. Labda siku za usoni hali itabadilika na watu kuanza kuwa serious.

 
Aisee nimecheka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo humu wengi wao wanawaza kufunuana tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…