Mrejesho wangu wa tangazo la kutafuta mume humu

Kwani JF sio online?

Kama ulishindwa kuelewana na mtu uliyepata nae mtoto sijui kama hawa wengine mtaelewana
 
Achana mambo ya kutafuta mume online fanya mambo mengine kama mume yupo atakuja tu
Shangazi.

Kwanza shikamoo.

[emoji3][emoji3]Anaona umri unaenda tu na hakuna dalili.

Kinachoshangaza mtaani kote na ibadani kwenye shughuli zake eti kakosa. Hadi ahangaike mitandaoni.

Kuna shida mahala me naona.
 
Dahhh...!!
Mbona mimi sikuliona hilo tangazo..??
Ebu ngoja nikufuate huko PM, ila usije ukantangaza kama hawa wakaka wawili.
 
Nadhani mtajiuliza wht online si mnajua tena single maza ubusy na nini na nini

Eti hiyo ndio sababu yake [emoji115]
...........ubusu na nini na nini..[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 


Maelezo meeengi, huyo Unforgetable umemchakata??
 
Shangazi.

Kwanza shikamoo.

[emoji3][emoji3]Anaona umri unaenda tu na hakuna dalili.

Kinachoshangaza mtaani kote na ibadani kwenye shughuli zake eti kakosa. Hadi ahangaike mitandaoni.

Kuna shida mahala me naona.
Marhaba, umri unaenda wapi? Akae atulie asubiri wakati wa Bwana [emoji3][emoji3]
 
Kwahiyo ndio kusema humu ni mafurushi tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Well said.
 
Pole sana, hivi kumbe mnapowekaga mabandiko humu ndani ya kutafuta wachumba huwa mko serious kabisaaaaaaa!!![emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
 
Mapenzi ya Mtandaoni tena Unatangaza unataka Mtu wa kukuoa???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aisee utaliwaaa tu nasema hutapata bwana tena miaka 35 kwenda mbele hakika Unaotaa.. Labda useme unawashwa unataka mkunaji[emoji23][emoji23][emoji23] Mabahari wanajua kuitumia fursa wanakuja kama waoaji lakini kumbee ni vitombi...
 
Pole sana, hivi kumbe mnapowekaga mabandiko humu ndani ya kutafuta wachumba huwa mko serious kabisaaaaaaa!!![emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Yani mtu kakosa mtu wa kumuoa huko anakoishi na kwenye mishe zake anahisi hapa Jf atapata[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…