miminimama
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 696
- 1,818
- Thread starter
-
- #141
Nawewe unakuwa humuombi akusaidie chochote... Kama hutotaka msaada wake wa chochote sawa!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaaaaa daaaaah; maisha yanaenda kasi sana!!!🤣🤣🤣🤣 Wao ndo wananiomba hela.
Unazo za Kuwapa? Ukiwa na pesa za Kuwapa basi kumpata mume ni vigumu sana, ukizingatia umri wa miaka 30 kwa wanaume wengi tayari wana familia..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wao ndo wananiomba hela.
Hela za kutafutia wanaume zinatumikaje mkuu?Wengine tunahangaika hela ya ugali wengine wana hela za kutafutia wanaume, kweli maisha hayako fair
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengine tunahangaika hela ya ugali wengine wana hela za kutafutia wanaume, kweli maisha hayako fair
Sent using Jamii Forums mobile app
Si amesema anaenda kufangua akaunti equity alipie dating site huko, sijui hata ni madola mangapi hakyamama
Unazo za Kuwapa? Ukiwa na pesa za Kuwapa basi kumpata mume ni vigumu sana, ukizingatia umri wa miaka 30 kwa wanaume wengi tayari wana familia..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha eti kumfuata na nauli yako inaumaAcha kabisaaaaa yaani jamani.
Maisha magumu hivi.
Unaanzaje kumpa mwanaume hela?
Yaani mimi hata mtu akisema nimfate kwa nauli yangu naumia mnooooo
Sent using Jamii Forums mobile app
miminimama vipi mrejesho wa online dating sites za mbele, umefanikiwa kupata mume/mchumba huko?Mnamo mwaka jana mwezi wa 8 nliweka tangazo la kutafuta mume humu ndani nikarudia tena February mwaka huu, nilipata pm nyingi nyingi tu na nlizijibu kadri ya uwezo wangu.
Nilibahatika kuonana na wakaka wa wawili, hawa ni watu wazima kidogo miaka yao kuanzia 35 na kuendelea wa kwanza tulikutana magomeni tukaongea kupeana basic intro, wa pili tulionana alikuja mitaa ya nyumbani.
Ila hao wote nikiri tu walikuwa wanasisitiza ngono, muingiliano kimwili hata hatujajuana kivile na baadhi ya vitu hatujafahamiana wala kujuana tukaishia hewani.
Kwa kifupi ni kuwa humu kutafuta mume huwezi pata zaidi ya sex partner wanaume ni kama vile wanakuwa wanawinda wanawake, anyway kibongo bongo online dating bado sana, najiandaa kesho kwenda equity bank kufungua akaunti na kujiunga na online transactions nilipie dating sites za mambele huko naamini nitapata mume na nitaleta mrejesho humu.
Nadhani mtajiuliza wht online si mnajua tena single maza ubusy na nini na nini.
Ulichokiandika unaonekana unahitaji sana ndoa kuliko penzi, hivi dunia ya sasa hivi kuna mwanaume atakuoa pasipo kumpa mgegedo kwanza? Na nahisi wewe unaupungufu katika k yako ndo maana unataka kuwabambikia wanaume kupitia ndoaMnamo mwaka jana mwezi wa 8 nliweka tangazo la kutafuta mume humu ndani nikarudia tena February mwaka huu, nilipata pm nyingi nyingi tu na nlizijibu kadri ya uwezo wangu.
Nilibahatika kuonana na wakaka wa wawili, hawa ni watu wazima kidogo miaka yao kuanzia 35 na kuendelea wa kwanza tulikutana magomeni tukaongea kupeana basic intro, wa pili tulionana alikuja mitaa ya nyumbani.
Ila hao wote nikiri tu walikuwa wanasisitiza ngono, muingiliano kimwili hata hatujajuana kivile na baadhi ya vitu hatujafahamiana wala kujuana tukaishia hewani.
Kwa kifupi ni kuwa humu kutafuta mume huwezi pata zaidi ya sex partner wanaume ni kama vile wanakuwa wanawinda wanawake, anyway kibongo bongo online dating bado sana, najiandaa kesho kwenda equity bank kufungua akaunti na kujiunga na online transactions nilipie dating sites za mambele huko naamini nitapata mume na nitaleta mrejesho humu.
Nadhani mtajiuliza wht online si mnajua tena single maza ubusy na nini na nini.
Si amesema anaenda kufangua akaunti equity alipie dating site huko, sijui hata ni madola mangapi hakyamama
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni shida jamani, ila na wenzetu wanahangaika hivyo hivyo[emoji23][emoji23][emoji23]Yaani navurugika kabisa akili.
Lakini muamala ukisoma akili inakuwa sawa.
Wewe hela ya kuitafuta mchana na usiku inauma sana ujue.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulichokiandika unaonekana unahitaji sana ndoa kuliko penzi, hivi dunia ya sasa hivi kuna mwanaume atakuoa pasipo kumpa mgegedo kwanza? Na nahisi wewe unaupungufu katika k yako ndo maana unataka kuwabambikia wanaume kupitia ndoa
Sidhani kama amemaanisha hivyo, anachosema yeye wengi wanataka tendo wakati hata hawajafahamiana vizuri... Hivi mwanaume mmekutana mtandaoni meeting ya kwanza ya pili unavua chupi? Lazima mpeane muda wa kufahamiana kwanza aiseeUlichokiandika unaonekana unahitaji sana ndoa kuliko penzi, hivi dunia ya sasa hivi kuna mwanaume atakuoa pasipo kumpa mgegedo kwanza? Na nahisi wewe unaupungufu katika k yako ndo maana unataka kuwabambikia wanaume kupitia ndoa
miminimama vipi mrejesho wa online dating sites za mbele, umefanikiwa kupata mume/mchumba huko?