Mrejesho wangu wa tangazo la kutafuta mume humu

Mrejesho wangu wa tangazo la kutafuta mume humu

Nadhani mtajiuliza wht online si mnajua tena single maza ubusy na nini na nini
Eti hiyo ndio sababu yake [emoji115]
most of the people posting things such as that they want a partner majority are just doing it for fun if at all this forum is more criax we couldn't b seeing numerous post ati natafta mme,natafta mchumba but unapata wengine ni imposter's
 
Mnamo mwaka jana mwezi wa 8 nliweka tangazo la kutafuta mume humu ndani nikarudia tena February mwaka huu, nilipata pm nyingi nyingi tu na nlizijibu kadri ya uwezo wangu.
Nilibahatika kuonana na wakaka wa wawili, hawa ni watu wazima kidogo miaka yao kuanzia 35 na kuendelea wa kwanza tulikutana magomeni tukaongea kupeana basic intro, wa pili tulionana alikuja mitaa ya nyumbani.
Ila hao wote nikiri tu walikuwa wanasisitiza ngono, muingiliano kimwili hata hatujajuana kivile na baadhi ya vitu hatujafahamiana wala kujuana tukaishia hewani.
Kwa kifupi ni kuwa humu kutafuta mume huwezi pata zaidi ya sex partner wanaume ni kama vile wanakuwa wanawinda wanawake, anyway kibongo bongo online dating bado sana, najiandaa kesho kwenda equity bank kufungua akaunti na kujiunga na online transactions nilipie dating sites za mambele huko naamini nitapata mume na nitaleta mrejesho humu.
Nadhani mtajiuliza wht online si mnajua tena single maza ubusy na nini na nini.

Husijidanye kwa hilo.online nyingi ni kuhusu ngono tu,.madada wng wapo online kwa ajl ya kujiuza,na wanaune wengi wapo kwa ajili ya kutafuta ngono.
 
Hajafikiria hili. Nafikir hawajui wanaume vizuri. Af anafikiri atakuja tuu aolewe kirahisi
Kuwa single maza sio tatizo Kama kweli unahitaji mume unapata tu. Ni Bora mwanaume akuchague kuliko kuhangaika kumtafuta mtandaoni
 
ngoja nimuite jamaa mmoja , oyaaa BAHARIA WA 7800 MAGALLAH R unaitwa huku uliomba papuchi kabla hamjajuana vizuri njoo ujibu tuhuma.
 
Yaishe baharia, ila ujifunze kuandika vizuri, maana kama unaweza kuandika criax unashindwa nini kuandika serious. Sometimes unakuta mtu anaandika K badala ya Ok, sasa hapo unakuwa umefupisha nini ?
I normally shorten words during any informal communication otherwise when it comes to an official communication I know what is totally expected of me.
 
Yaishe baharia, ila ujifunze kuandika vizuri, maana kama unaweza kuandika criax unashindwa nini kuandika serious. Sometimes unakuta mtu anaandika K badala ya Ok, sasa hapo unakuwa umefupisha nini ?
the time you will come to understand what coded Language minutes I suppose you will appreciate the akwardness of the subject
 
Back
Top Bottom