Mrejesho wangu wa tangazo la kutafuta mume humu

Mrejesho wangu wa tangazo la kutafuta mume humu

nyie wanawake sikilizeni msikupuke tu, Wanaume huwafuata Wanawake kwa mambo mawili, ambayo ni MAPENZI na SEX. Lakini inapofika hatua ya Kuoa, Wanaume hawaoi kwa sababu ya SEX au MAPENZI, wanaoa kwa sababu ya kutafuta AMANI NA UTULIVU WA NAFSI (STABILITY).
.
Mwanaume anaweza kukupenda na asikuoe
Mwanaume anaweza kuwa anafanya mapenzi na wewe tena mkadumu kwa muda mrefu lakini asikuoe. Lakini akampata mtu mwingine akamuoa hata kama mahusiano yake na mtu huyo yalikuwa ya miezi miwili.
.
Wanaume wengi hutizama mbali zaidi pale wanapotaka KUOA. Huwa hawafikirii habari za suti kali za harusi na sherehe ya gharama, vitu ambavyo hufikiriwa zaidi na wanawake kila wanapoiwaza ndoa.
.
Wanaume huwaza, iwapo mwanamke huyu anaweza kuijenga familia bora, anaweza kuwahudumia watoto? Hatanipa stress huko mbeleni, hatanisumbua katika masuala ya tendo la ndoa?
.
Wanaume wanaotaka kuoa huwa hawapendi wanawake wanaowapa mawazo, ndio maana wengine hukaa muda mrefu kwenye mahusiano lakini unajifikiria bila sababu ya msingi anakuja kuoa mtu amekaa nae kwa miezi miwili.
.
Ni ile utafutaji wa AMANI YA NAFSI.
Ingekuwa hivyo basi hizi nyuzi za kulia lia humu ndani zisingekuwepo.[emoji848][emoji848][emoji848]
 
  • Thanks
Reactions: amu
Wewe jamaaa unanifanya nicheke aiseeee.
Wenzako wa nalilia kulba wenyewe wewe unasema wanadhalilishwa? Embu acha kuwasemea wanaume wenzio bwana

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa nimemshangaa sana, wenzake hiyo ni moja ya majukumu wakati wa tendo yeye anasema tunadhalilishwa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: amu
Hela yangu naitafuta kwa tabu sana yaani kwa shida sana inaniuma sana.
Najua nimetoka wapi siwezi kuwa na matumizi mabovu sababu ya mwanamme anayenila.
Yeye ndo anatakiwa aongeze nguvu kwangu na si kugawana nilichonacho.
Hapana aiseeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah kwa Jinsi ulivyoelezea kwa hisia kali..

No Comment!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: amu
Shangaa Elli.
Kuna mambo ya ajabu sana.
Mtu anaona hiyo ni adhabu.
I wonder hata mengine [emoji848][emoji848][emoji848] sijui yanakuwaje
Huyu jamaa nimemshangaa sana, wenzake hiyo ni moja ya majukumu wakati wa tendo yeye anasema tunadhalilishwa[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom