Mrema alikuwa anapeleka wapi pesa zake?

Ukishajua zilipo?
 
Sio kila mtu anawaza kuwekeza pesa nyingi kwenye nyumba ya kuishi, ukiweka M500 kwenye nyumba ya kuishi na mwingine akaweka 100 Halafu hizo 400 zingine akajenga za kupangisha nani ana akili?
 
Mwanaume usipopenda totizi sasaa utapenda nini?

Sifa ya kwanza ya mwanaume uwe na hela usiwe na hela ni kupenda wanawake. Wanawake ni zawadi ya asili ya mwanaume.

Kama Mzee Mrema alikua anapenda totozi nampongeza sana.
Kila mwanaume anapenda totoz sema wengine gawana nguvu wanazuga utakatifu
 
Ile nyumba haina hadhi ya naibu waziri mkuu mstaafu
We yako iko wapi boss?
Kuna watu wa ajabu sana sio hadhi yake kivipi mjumba ule?
Waziri mstaafu aliyehamia upinzani umesahau.
Nyie ndo washamba mliojazana kufisadi huko serikalini mnaiba mnajenga mivilla inawashinda hata kukaa wenyewe.
 
Usipanic.kuna vyeo ukiwa navyo serikalini huitaji kuiba ila kujenga mji mzuri,mishahara na posho tu unajenga mji wako saafi
 
Vijana mnatafuta laana mnamsema marehemu 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…