Mrema alikuwa anapeleka wapi pesa zake?

Nyumbani kwake ni Salasala

Ile nyumba ya Sinza alinunuliwa na chama chake TLP
Hata hicho kiwanja cha salasala alinunuliwa na UVccm wakati huo akiwa naibu wazir mkuu nilitonywa lakin na mnene mmoja wa vijana miaka hiyo
 
Kipimo cha mafanikio ni unapolala
Nyumba yake ya Kiraracha naifahamu na ile ya Sinza na Salasala kila mtu anaijua haviendani na hadhi yake

Pesa zake alikuwa anapeleka wapi?
Kwani ameomba msaada wa mazishi yake?
 
Sasa INA mengi bro
 
Sio kila mtu anawaza kuwekeza pesa nyingi kwenye nyumba ya kuishi, ukiweka M500 kwenye nyumba ya kuishi na mwingine akaweka 100 Halafu hizo 400 zingine akajenga za kupangisha nani ana akili?
Wachaga hawako hivyo,labda wahindi
 
Mjinga wewe hebu weka nyumba yako hapa tuione.
Nyerere alikua na nyumba ngap
 
Mjinga wewe hebu weka nyumba yako hapa tuione.
Nyerere alikua na nyumba ngap
Nyerere njoo msasani uone mji wake,hekari nne kiwanja,nyerere hakuwa masikini,nyumba yake ya magomeni alijenga kabla ya uhuru imegeuzwa makumbusho ila nyumba kali sana ile
 
Mlitaka afe na majumba ahonge magari kwa warembo ndo muone alikua mnufaika wa sirikali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…