Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Omba radhi ,hajazeeka ki hivyo anaumwa na kale kaugonjwa ka siku hizi kanatafuna ubongo
Ili aendelee kumpeleka India kwa matibabu! Njaa noma.
kweli nimeamini binadam kadiri umri unavoenda na uwezo wa aliki unarudi nyuma si bora angevaa gamba tu tujue moja siyo kuwa kibarakaMrema ataka JK aendelee na urais Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Augustino Mrema amesema hakuna ubaya Rais Jakaya Kikwete akiacha kuongeza nchi kwa muda ili akamilishe mchakato wa Katiba Inayopendekezwa pamoja na Daftari la Kudumu la Wapigakura.
======================================
Chanzo: Mwananchi
mtu mzima dawa mrema umenena mzee jk aendelee tu raha tupu
Hivi nani anajua ugonjwa wa huyu mti plz
Mrema ataka JK aendelee na urais Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Augustino Mrema amesema hakuna ubaya Rais Jakaya Kikwete akiacha kuongeza nchi kwa muda ili akamilishe mchakato wa Katiba Inayopendekezwa pamoja na Daftari la Kudumu la Wapigakura.
======================================
Chanzo: Mwananchi
Mbatia anaujua!
Mrema ana taka kujiongezea muda wa kuendelea kuwa mbunge wa jimbo la vunjo kwa kupitia mgongo wa Kikwete baada ya kugundua kuwa siku za kuendelea kuwa mbunge wa jimbo hilo zinahesabika.