Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mrema ataka JK aendelee na urais Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Augustino Mrema amesema hakuna ubaya Rais Jakaya Kikwete akiacha kuongeza nchi kwa muda ili akamilishe mchakato wa Katiba Inayopendekezwa pamoja na Daftari la Kudumu la Wapigakura.
======================================
Chanzo: Mwananchi
Mchumba wake sijui ataitwa jina gani
mkuu dola si itafikia Tsh.100,000?
FIRST FIANCE tehteh
Kwanza hata kipengele cha ukomo wa madaraka tukitoe maana nchi bado changa,JK aendelee tu mbona ndani ya chama chetu pendwa Chadema tuliona kichanga tukaona tutoe kwanza mambo ya demokrasia.CHADEMA na DEMOKRASIA ni kama MBOWE na ELIMU(mbali mbali).Chadema oyeeee......
JK aongezewe miaka mitano mingine, Watanzania bado tunampenda sana
Hivi Slaa akiwa rais nani atakuwa first lady, maana hajaoa bado yuko kwenye uchumba
Naona anafurahia yanayotokea Burundi ,anadhani Kikwete atakuwa raisi milele ili apate kwa kwenda kulia njaa,huyu mzee kapoteza mvuto na hata ladha ya kumuamini au kumsikiliza haipoIli aendelee kumpeleka India kwa matibabu! Njaa noma.
Mrema ana taka kujiongezea muda wa kuendelea kuwa mbunge wa jimbo la vunjo kwa kupitia mgongo wa Kikwete baada ya kugundua kuwa siku za kuendelea kuwa mbunge wa jimbo hilo zinahesabika.