Heparin
JF-Expert Member
- Sep 24, 2021
- 450
- 3,368
Wakuu,
Informer wenu nipo kwenye Mkutano Mkuu wa CHAUMMA. Nimekuja na hii taarifa ya ndani kabisa kutoka jikoni. Soon watatangaza rasmi.
Tukio hili lipo Golden Tulip, Dar es Salaam. Taarifa zaidi zitakujia.
Pia, Soma: Inasemekana G55 wanahamia CHAUMMA, kupewa nafasi za uongozi kukamiliasha 5% ya wagombea wa upinzani

Wacha watimize ndoto zao walizodai zinazimwa na chadema za kushinda ubunge. Ni haki yao, uwanja sasa ni wao watuoneshe siasa safi na watuwakilishe vyema Bungeni na kwenye halmashauri watakakapo shinda ubunge na udiwani kwa wingi. Safari hii ccm lazima wakae.