Tena mara hii katayarisha biriani ya nguvuWamekula ubwabwa lakini?
Maana kwa Hashim Rungwe ukifika sharti ule ubwabwa kisha stori zingine zifuate.
Waacheni waende jamani, hao watafutaji wa maisha, wameshaondoka ya nini kuwabeza.
Tena mara hii katayarisha biriani ya nguvuWamekula ubwabwa lakini?
Maana kwa Hashim Rungwe ukifika sharti ule ubwabwa kisha stori zingine zifuate.
Waacheni waende jamani, hao watafutaji wa maisha, wameshaondoka ya nini kuwabeza.
Majinga ya kiwango Cha SGR kuwahi kutokea na malipo ya watu Kama hao ni kuuwawa.
LET US WAIT AND SEE. LAKINI MBONA AKINA KITILYA,, YULE NAIBU WAZIRI WA AFYA ETC ETCCCM mbele ya madaraka huwa haina utani asee, tuombe uzima
Walipewa wakiwa CCM siyo wakiwa nje ya hapoLET US WAIT AND SEE. LAKINI MBONA AKINA KITILYA,, YULE NAIBU WAZIRI WA AFYA ETC ETC
Wakuu,
Informer wenu nipo kwenye Mkutano Mkuu wa CHAUMMA. Nimekuja na hii taarifa ya ndani kabisa kutoka jikoni. Soon watatangaza rasmi.
Tukio hili lipo Golden Tulip, Dar es Salaam. Taarifa zaidi zitakujia.
Pia, Soma: Inasemekana G55 wanahamia CHAUMMA, kupewa nafasi za uongozi kukamiliasha 5% ya wagombea wa upinzani
Walipewa wakiwa CCM siyo wakiwa nje ya hapo
GOLDEN TULIP KUNA MKONO WA CCM......Walipewa wakiwa CCM siyo wakiwa nje ya hapo
kabisa, Lissu aliwafukuza zitto kafulila kitila mkumbo, cha kushangaza hawa jamaa wanakula good time hadi leo, watu waliobebwa na lissu hadi leo wanaishi maisha ya kubangaiza kama marasi wa ferryWamekula ubwabwa lakini?
Maana kwa Hashim Rungwe ukifika sharti ule ubwabwa kisha stori zingine zifuate.
Waacheni waende jamani, hao watafutaji wa maisha, wameshaondoka ya nini kuwabeza.
Mngese we. Kwenye mafanikio hashimu rungwe Yuko mbali fala wewe. Ana magari (mabasi) na mashamba ya mpunga. Huyo bwana wenu lissu ana mafanikio gani zaidi ya kukariri vifungu tu.Ni kituko cha karne kukataa kuongozwa na Lissu na kukubali kuongozwa na Hashim Rungwe,
Una mtazamo finyu sana kuhusu mafanikio, wewe unaweza kuongozwa hata na masanja na manara kwa sababu wana mashamba ya mpunga na ma bus.Mngese we. Kwenye mafanikio hashimu rungwe Yuko mbali fala wewe. Ana magari (mabasi) na mashamba ya mpunga. Huyo bwana wenu lissu ana mafanikio gani zaidi ya kukariri vifungu tu.
Katika watu waliosimangwa ni Kigaila. Katika uchaguzi Lema alituma ujumbe kuwa Kigaila anawanyima wajumbe kitambulisho. Mlijua kuwa watavumilia tu kwa kuwa hawana pa kwenda. Waacheni wakaungane na wenzao kuijenga Chaumma.Benson Kigaila muda wote aliotumia kwenye upinzani wa kweli amekuja kufangiwa ulaghai kwenda CHAUMMA kweli?,
Ila wanasema huwezi mshauri mtu aliyepata mpenzi mpya. Nimeamini kwa Kigaila