Hata Dotto Magari anauza magariHashim rungwe anauza magari tangu 1970s kweusi..anajielewa
Wabunge ganj watakaokubali huo ujinga.Wameahidiwa viti 30 na CCM na ofisi ya msajili na tume.
Very shameful.
sasa shida iko wapi mumemwona alikuwa na matatizo haya kajiondoa mbona bado.mnachungia alikoenda utadhani madereva wa fusoAcha ufala wewe. Hao G55 ni wahuni waliokuwa CDM kwa manufaa yao binafsi. Mfamo John Mrema alifungua account ya U tube kwa jina la Chadema lakini akawa anajiingizia fedha zinazotokana na followers wa chama kwenye account yake binafsi. Waliposhindwa uchaguzi akasepa na account ya chama ya U-tube na tovuti ya chama.
Kwa ushahidi huo inaonyesha ni jinsi gani Chama kilivyokuwa kinanendeshwa kihuni kwa masihi ya wachache.
na lengo lao ni hilo kwamba cdm iteteleke, hivi kweli kwamba Mrema ana ushawishi kuliko Dr Slaa šHuu uharamia wao walidhani CDM itatetereka, ndiyo kwanza Mwamba (Lissu) leo ameiamsha mioyo ya Watanzania mahakamani.....He looks strong
Hakika.
Well said . Watanganyika wanafiki sana. Ukifa wanachangia jeneza ila ukiwa hai hata paracetamol hupati.John Mrema kafutwa kazi, sasa mlitaka akalime? ukifukuzwa crdb ukaajiriwa dcb na ukapata mshahara mnono shida iko wapi?
Ila kati ya watu ambao sikuwahi kujua kama watatongozeka kirahisi namna hii ni devotha minja
wanaenda na sera mpya? au ni kula ubwabwa kwa kwenda mbeleWakuu,
Informer wenu nipo kwenye Mkutano Mkuu wa CHAUMMA. Nimekuja na hii taarifa ya ndani kabisa kutoka jikoni. Soon watatangaza rasmi.
Tukio hili lipo Golden Tulip, Dar es Salaam. Taarifa zaidi zitakujia.
Pia, Soma: Inasemekana G55 wanahamia CHAUMMA, kupewa nafasi za uongozi kukamiliasha 5% ya wagombea wa upinzani
wahi kabla hujachelewa hujachelewa,CDM nimeamini sasa imekombolewacdm hq kimekuwa kijiwe cha wakurya na wanyaturu, kha hatamie ningelala mbele
katiba iliyopendekezwa na bunge la katiba ipo, bunge la katiba lili iwasilisha kwa Kikwete na Dr.Sheni baada ya kumaliza mchakato, tunasubiri ipelekwe bungeni ikapigiwe kura za ndiyo katika bunge la ccm.Mbona Boni yai ni full kujitambua na kujitatjmini? Hawa kina Fundi Chundo, Nyanye Go na wenzao kama walinufaika na udalali, sisi tunataka katiba mpya sasa!
View attachment 3339027
Nani kasema kutereza hakumo?
Mbona kina Slaa, Drlfter, Kilewela, binti viziwi, karamu, Retiree, joka mkuu, Jolojik na wenzao tuko nao bega na jahazi linasonga?
Wapi walisema majembe au kuwa hata mashoka hayakwaani?
"Yaliwashinda watoto mapacha sembuse miye na we neema?"
Mwendo mdundo, madalali na uchawa big NO!
Wametuchelewesha mno. Wenye kutaka kwenda na wakwendree!
Au nasema Uongo?
Haki yao ya kidemokrasia hongera zaoWakuu,
Informer wenu nipo kwenye Mkutano Mkuu wa CHAUMMA. Nimekuja na hii taarifa ya ndani kabisa kutoka jikoni. Soon watatangaza rasmi.
Tukio hili lipo Golden Tulip, Dar es Salaam. Taarifa zaidi zitakujia.
Pia, Soma: Inasemekana G55 wanahamia CHAUMMA, kupewa nafasi za uongozi kukamiliasha 5% ya wagombea wa upinzani
katibailiyopendekezwa na bunge la katiba ipo, bunge la katiba liluiwasilisha kwa Kikwete na Dr.Sheni baada ya kumaluza mchakato, tunasubiri ipelekwe bungeni ikapigiwe kura za ndiyo katika bunge la ccm.
Nashangaa mpaka sasa ccm wako kimya.
Chadema wanataka reform za kanuni za uchaguzi wimbo wa katiba mpya wameuacha kwa sasa.
ngoja tuone maana hatuwezi sema lolote . kama wamekwenda kupata vyeo na wakavipata, then they have satisfiied their needs to make a shift!Wakuu,