PreGE2025 Mrema, Kileo, Kigaila, Salumu Mwalimu, Devotha Minja na G 55 wengine rasmi watua CHAUMMA. Walijifanya kukataa, kiko wapi!

PreGE2025 Mrema, Kileo, Kigaila, Salumu Mwalimu, Devotha Minja na G 55 wengine rasmi watua CHAUMMA. Walijifanya kukataa, kiko wapi!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mkuu
Wakuu,

Informer wenu nipo kwenye Mkutano Mkuu wa CHAUMMA. Nimekuja na hii taarifa ya ndani kabisa kutoka jikoni. Soon watatangaza rasmi.

View attachment 3338928

View attachment 3338927
Hao sio G55 bali ni J55. G55 wali malizana hoja zao zenye utata ndani ya chama chao na umoja wao ukaendelea. Hawa J55 (Jiondoe) wameondoka ndani ya chama chao hapasipo kutatua hoja zao na kwenda kujiunga na chama kingine.
 
Huyu dada alienyoa nywele naomba nipate number yake tafadhali sana mwenye nayo anicheck DM
 
Screenshot_20250519-140343~2.png
 
Back
Top Bottom