PreGE2025 Mrema, Kileo, Kigaila, Salumu Mwalimu, Devotha Minja na G 55 wengine rasmi watua CHAUMMA. Walijifanya kukataa, kiko wapi!

PreGE2025 Mrema, Kileo, Kigaila, Salumu Mwalimu, Devotha Minja na G 55 wengine rasmi watua CHAUMMA. Walijifanya kukataa, kiko wapi!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
John Mrema kafutwa kazi, sasa mlitaka akalime? ukifukuzwa crdb ukaajiriwa dcb na ukapata mshahara mnono shida iko wapi?
Wewe unakuwaje na Taasisi ndani ya Taasisi una Itisha Presd Conference kwenda Against na Mambo ya Taasisi, Kwa Seniority aliyonayo Mrema mbona anaweza Kuaccess Secretariat na Kuraise Concern zake,

Wacha tuone huko Chauma sasa kama wata trend its matter of time watakuwa out the pitch tena Wanaweza kurejea Chadema kwa Aibu kubwa sana
 
Wacha watimize ndoto zao walizodai zinazimwa na chadema za kushinda ubunge. Ni haki yao, uwanja sasa ni wao watuoneshe siasa safi na watuwakilishe vyema Bungeni na kwenye halmashauri watakapo shinda ubunge na udiwani kwa wingi. Safari hii ccm lazima wakae.
 
Ni kituko cha karne kukataa kuongozwa na Lissu na kukubali kuongozwa na Hashim Rungwe,
huyo kibaraka akuongoze wewe, Lissu hana akili timamu. Leo mahakamani alipanic anaongea maneno ya ajabuajabu.
 
Back
Top Bottom