Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Wewe huna akili kabisa, Kingai, Masanja, Mwita wote ni warombo?Mke wake wa 3 ni mrombo Suzan Macha 😁😁
Wewe huna akili kabisa, Kingai, Masanja, Mwita wote ni warombo?Mke wake wa 3 ni mrombo Suzan Macha 😁😁
Ukweli wa kweli ni kuwa hawa watu hawana ushawishi wowote wa kuchaguliwa hata kwa udiwani. Ili washinde lazima wapate msaada kutoka baharini.Wakuu,
Informer wenu nipo kwenye Mkutano Mkuu wa CHAUMMA. Nimekuja na hii taarifa ya ndani kabisa kutoka jikoni. Soon watatangaza rasmi.
Tukio hili lipo Golden Tulip, Dar es Salaam. Taarifa zaidi zitakujia.
View attachment 3338928
View attachment 3338927
View attachment 3338929
Yes wafanye kweliWaambie wafanye na mkutano wa hadhara!
Unamfananisha Rungwe na Mropokaji? Nyie vijana hamna adabu kabisa.Ni kituko cha karne kukataa kuongozwa na Lissu na kukubali kuongozwa na Hashim Rungwe,
Ha ha ha haaa yaani mbowe mjanja saana na timu yake wamepigs mahesabu kuwa
1. Wakienda CCM itaonekana kweli mbowe na kambi yake walikuwa ccm b.
2. Wakapiga mahesabu kule ACT WAZALENDO kuna ZITTO KABWE walimtendea ubaya ubwela wakaona sehemu sahihi ya wao kwenda ni chauma.
Sasa na wakikuze CHAUMA KIwe chama kuu cha upinzani.
Hawezi kupata hata udiwaniUkweli wa kweli ni kuwa hawa watu hawana ushawishi wowote wa kuchaguliwa hata kwa udiwani. Ili washinde lazima wapate msaada kutoka baharini.
Vv
Wote hao wake zao ni Warombo wenzako 😁Wewe huna akili kabisa, Kingai, Masanja, Mwita wote ni warombo?
🤣🤣🤣🤣Wakuu,
Informer wenu nipo kwenye Mkutano Mkuu wa CHAUMMA. Nimekuja na hii taarifa ya ndani kabisa kutoka jikoni. Soon watatangaza rasmi.
Tukio hili lipo Golden Tulip, Dar es Salaam. Taarifa zaidi zitakujia.
Mwanzoni kilikuwajecdm hq kimekuwa kijiwe cha wakurya na wanyaturu, kha hatamie ningelala mbele
Yeah na vyeo viko hiviWakuu,
Informer wenu nipo kwenye Mkutano Mkuu wa CHAUMMA. Nimekuja na hii taarifa ya ndani kabisa kutoka jikoni. Soon watatangaza rasmi.
Tukio hili lipo Golden Tulip, Dar es Salaam. Taarifa zaidi zitakujia.
Wewe unalaana, hata Catherine Ruge naye ni mrombo?Wote hao wake zao ni Warombo wenzako 😁
Waitishe mkutano wa hadhara tuoneYeah na vyeo viko hivi
Mrema, Kigaila, Salum na Devotha Minja wameingia kikao cha kamati kuu ambapo watapewa vyeo
1. Kigaila makamu mwenyekiti bara
2. Salu Mwalim makamu mwenyekiti Zanzibar
3. Mrema Katibu mkuu
4. Devotha Minja atakuwa kiongozi wa wanawake.
Bora Rungwe anaakili na busaraNi kituko cha karne kukataa kuongozwa na Lissu na kukubali kuongozwa na Hashim Rungwe,
Wameenda kukiteka Chauma, hawako kujenga chama, mbio zitakoma baada ya uchaguzi.Ni kituko cha karne kukataa kuongozwa na Lissu na kukubali kuongozwa na Hashim Rungwe,
Kwani wewe hutaki wajiunge na chama kingine? Si mlisema wanatumiwa na CCM na kwamba wanaenda kujiunga na CCM?. Nyumbu bwana shida sana.Wakuu,
Informer wenu nipo kwenye Mkutano Mkuu wa CHAUMMA. Nimekuja na hii taarifa ya ndani kabisa kutoka jikoni. Soon watatangaza rasmi.
Tukio hili lipo Golden Tulip, Dar es Salaam. Taarifa zaidi zitakujia.
Pia, Soma: Inasemekana G55 wanahamia CHAUMMA, kupewa nafasi za uongozi kukamiliasha 5% ya wagombea wa upinzani