Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 43,233
- 51,648
Nilisikia wanasema niHoja ya CDM chama cha kaskazini imekwisha,kwa sasa CDM kina sura rasmi ya nchi
Chaga
Development
Manifesto
Nilisikia wanasema niHoja ya CDM chama cha kaskazini imekwisha,kwa sasa CDM kina sura rasmi ya nchi
Tapeli yulerr walienda mpaka Tanga bagamoyo wkaaliwa helà zaombowe ashinde mkojooo unawatokaaHahahahahah
Mrema ni Kichaa aisee
Ruge Mke wa Selasini kitambo sana 😂Wewe unalaana, hata Catherine Ruge naye ni mrombo?
Wewe umechanganyikiwa haswaRuge Mke wa Selasini kitambo sana 😂
Ulitaka wahamie wapi?Hadi huruma yaani!!
Chauma 🤣🤣🤣Wewe unakuwaje na Taasisi ndani ya Taasisi una Itisha Presd Conference kwenda Against na Mambo ya Taasisi, Kwa Seniority aliyonayo Mrema mbona anaweza Kuaccess Secretariat na Kuraise Concern zake,
Wacha tuone huko Chauma sasa kama wata trend its matter of time watakuwa out the pitch tena Wanaweza kurejea Chadema kwa Aibu kubwa sana
Daah ila siasa, okay kwa hiyo wamefuata ubwabwa wa mzee Rungwe.Wakuu,
Informer wenu nipo kwenye Mkutano Mkuu wa CHAUMMA. Nimekuja na hii taarifa ya ndani kabisa kutoka jikoni. Soon watatangaza rasmi.
Tukio hili lipo Golden Tulip, Dar es Salaam. Taarifa zaidi zitakujia.
Pia, Soma: Inasemekana G55 wanahamia CHAUMMA, kupewa nafasi za uongozi kukamiliasha 5% ya wagombea wa upinzani
Kwahiyo kwa hesabu hapo Zitto na ACT yake wanapoteza, au kugawana na Chauma.Ha ha ha haaa yaani mbowe mjanja saana na timu yake wamepigs mahesabu kuwa
1. Wakienda CCM itaonekana kweli mbowe na kambi yake walikuwa ccm b.
2. Wakapiga mahesabu kule ACT WAZALENDO kuna ZITTO KABWE walimtendea ubaya ubwela wakaona sehemu sahihi ya wao kwenda ni chauma.
Sasa na wakikuze CHAUMA KIwe chama kuu cha upinzani.
Hawa Warombo kitu watafanywa na Hashim hawatasahau milele 😂Wewe umechanganyikiwa haswa
Mkuu, labda wanadhani ni Sidiemu ile, seems CHAUMA na CHADEMA majina yamewachanganya kwa jinsi yanavyosawiana?!Ha ha ha haaa yaani mbowe mjanja saana na timu yake wamepigs mahesabu kuwa
1. Wakienda CCM itaonekana kweli mbowe na kambi yake walikuwa ccm b.
2. Wakapiga mahesabu kule ACT WAZALENDO kuna ZITTO KABWE walimtendea ubaya ubwela wakaona sehemu sahihi ya wao kwenda ni chauma.
Sasa na wakikuze CHAUMA KIwe chama kuu cha upinzani.
Rungwe na yeye si ni wakili msomi?Ni kituko cha karne kukataa kuongozwa na Lissu na kukubali kuongozwa na Hashim Rungwe,
Imekuuma sanaWakuu,
Informer wenu nipo kwenye Mkutano Mkuu wa CHAUMMA. Nimekuja na hii taarifa ya ndani kabisa kutoka jikoni. Soon watatangaza rasmi.
Tukio hili lipo Golden Tulip, Dar es Salaam. Taarifa zaidi zitakujia.
Pia, Soma: Inasemekana G55 wanahamia CHAUMMA, kupewa nafasi za uongozi kukamiliasha 5% ya wagombea wa upinzani
Wewe ni chizi kweli kweli sijui warombo walikufanya nini?Hawa Warombo kitu watafanywa na Hashim hawatasahau milele 😂
Wakili msomi aliyefaa kuwa comedian na sio mwanasiasa kiongozi wa chama.Rungwe na yeye si ni wakili msomi?
Kama nyinyi ulivyolipiwa hapo Mlimani City kwenye mkutano wenu January 2025Hata gharama za Ukumbi wamelipiwa
Unaona jinsi Russia anavyojitahidi kutengeneza buffer zone - no man's land - kule Ukreni, same na hapa kwetu hiki chama inaelekea ni buffer party ya kuzuia mishale mikali ya Sidiemu isifike Sisiemu Lumumba.Kwahiyo kwa hesabu hapo Zitto na ACT yake wanapoteza, au kugawana na Chauma.