Wanaenda kupoteza muda wala hawana mvuto wowote
Ndiyo mwisho wa safari yao ya siasa. Aheri wangemwomba Samia awape japo utendaji wa kata.
Wanaenda kupoteza muda wala hawana mvuto wowote
serikali iwe makini na hichi kikundi cha Joni maana wanaweza kopa zile 10% za halmashauri wakasepaKutoka CHADEMA kwenda CHAUMA ni sawa na kutoka CRDB kwenda kuwa mweka hazina wa VICOBA.
Kwani vibaya wao kujiunga CHAUMMA? Ulitaka waanźishe mgogoro ndani ya CHADEMA?Wakuu,
Informer wenu nipo kwenye Mkutano Mkuu wa CHAUMMA. Nimekuja na hii taarifa ya ndani kabisa kutoka jikoni. Soon watatangaza rasmi.
Tukio hili lipo Golden Tulip, Dar es Salaam. Taarifa zaidi zitakujia.
Pia, Soma: Inasemekana G55 wanahamia CHAUMMA, kupewa nafasi za uongozi kukamiliasha 5% ya wagombea wa upinzani
Hakika.No wonder tulikuwa hatupigi hatua.
Chama kilijaa madalali na chawa wao.
CHADEMA ni hii ya sasa, siyo Ile.
It's now or never!
Unadhani watu kama Devotha Minja, Kigaila n.k. watawaamini CCM baada ya yaliyo watokea NCCR Mageuzi? Watakuwa wajinga sana kama watafanya huvyo.Wameahidiwa viti 30 na CCM na ofisi ya msajili na tume.
Very shameful.
Kwani wewe mchaga mbona una hasira hivi😜Niliziona hizi akili hata kwa Lissu!! Ule uchaguzi wengi wenu mliongozwa na chuki dhidi ya Uchagga!! But haitawasaidia chochote!! Stupidity at its best!
Bora hata wangeenda CHAPUTAWakuu,
Informer wenu nipo kwenye Mkutano Mkuu wa CHAUMMA. Nimekuja na hii taarifa ya ndani kabisa kutoka jikoni. Soon watatangaza rasmi.
Tukio hili lipo Golden Tulip, Dar es Salaam. Taarifa zaidi zitakujia.
Pia, Soma: Inasemekana G55 wanahamia CHAUMMA, kupewa nafasi za uongozi kukamiliasha 5% ya wagombea wa upinzani
Acha ufala wewe. Hao G55 ni wahuni waliokuwa CDM kwa manufaa yao binafsi. Mfamo John Mrema alifungua account ya U tube kwa jina la Chadema lakini akawa anajiingizia fedha zinazotokana na followers wa chama kwenye account yake binafsi. Waliposhindwa uchaguzi akasepa na account ya chama ya U-tube na tovuti ya chama.cdm hq kimekuwa kijiwe cha wakurya na wanyaturu, kha hatamie ningelala mbele
Uraibu wa pombe huo naamua kukupuuza tu.Kumbe nawe ni Mrombo 🐼
Wapo njiani kuelekea CCMNdiyo mwisho wa safari yao ya siasa. Aheri wangemwomba Samia awape japo utendaji wa kata.
SawaJust take it easy, enjoy the moment
Hapana. Sikumkataa Mbowe ila nilimuomba apishe solid characters maana CCM hawataki tena kuishi kibinadamu.Niliziona hizi akili hata kwa Lissu!! Ule uchaguzi wengi wenu mliongozwa na chuki dhidi ya Uchagga!! But haitawasaidia chochote!! Stupidity at its best!
Ni kituko cha karne kukataa kuongozwa na Lissu na kukubali kuongozwa na Hashim Rungwe,
Labda wanataka na ubwabwa...
Bora wangetimkia huko ACT kumeanza hata kuchangamka.Huko CHAUMA Dar tu sidhani wanachama wao wanafika elfu kumi.Mrema na time yao ni looser.
Sawa ngoja tuone hizo mbio zao zitakapofikia.Ukiona hivyo ujue kuna ahadi wamepewa...