PreGE2025 Mrema, Kileo, Kigaila, Salumu Mwalimu, Devotha Minja na G 55 wengine rasmi watua CHAUMMA. Walijifanya kukataa, kiko wapi!

PreGE2025 Mrema, Kileo, Kigaila, Salumu Mwalimu, Devotha Minja na G 55 wengine rasmi watua CHAUMMA. Walijifanya kukataa, kiko wapi!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wewe unakuwaje na Taasisi ndani ya Taasisi una Itisha Presd Conference kwenda Against na Mambo ya Taasisi, Kwa Seniority aliyonayo Mrema mbona anaweza Kuaccess Secretariat na Kuraise Concern zake,

Wacha tuone huko Chauma sasa kama wata trend its matter of time watakuwa out the pitch tena Wanaweza kurejea Chadema kwa Aibu kubwa sana
KWANI M WANASIASA ANA AIBU>? MBONA MCHUNGAJI KARUDI PAMOJA NA KUWATUKANA NA KUWATUNGIA KITABU CHADEMA CHA MATUSI LAKINI WAMEMPOKEA CHADEMA
 

Ni bora angesema tukifika 2025 hakuna Katiba mpya hakuna tume huru basi natimkia CHAUMMA😆😆😂😂

Asante Mungu kwa kutuondolea najisi.
 
Tulisema hapa Kuwa hawa jamaa wanatumika Kisiasa ili Kufifisha trending ya mambo ya Chadema, Leo wameona kuna issue ya Lissu ambayo ndio major trending news, Hapo hapo na wao wana create trending hawa tunawaita Toilet Papers kazi yao Ikiisha watakuwa dumped
Mawakala wa shetani kabisa hawa!
 
Yohana duka limefunguliwa CHAUMA, huku nako Warombo watauza t-shirt?😂😂
Ila wachaga kwa hapa wamechemsha.
1. Moza Ally- Mchaga
2. Henry Kileo- Mpare/mchaga
3. Jacob Assenga - Mchaga
4. Devotha Minja- Mchaga
5. John Mrema- Mchaga
6. Godfrey Kinabo- Mchaga

Aisee Mzee wa ubwabwa akaongeze ndumba za kigoma watampora chama
 
Soon Kuna watu watarejea kutubu maana watagundua walifanywa toilet paper 😃😃😃
 

Attachments

  • 20250519_144608.jpg
    20250519_144608.jpg
    252.2 KB · Views: 14
Tulisema hapa Kuwa hawa jamaa wanatumika Kisiasa ili Kufifisha trending ya mambo ya Chadema, Leo wameona kuna issue ya Lissu ambayo ndio major trending news, Hapo hapo na wao wana create trending hawa tunawaita Toilet Papers kazi yao Ikiisha watakuwa dumped

Trending waitoe wapi hao?
 
Ila wachaga kwa hapa wamechemsha.
1. Moza Ally- Mchaga
2. Henry Kileo- Mpare/mchaga
3. Jacob Assenga - Mchaga
4. Devotha Minja- Mchaga
5. John Mrema- Mchaga
6. Godfrey Kinabo- Mchaga

Aisee Mzee wa ubwabwa akaongeze ndumba za kigoma watampora chama
Hawakujua kuwa waliokuwa ni punda waliombeba masihi ndio maana walitandikiwa vitenge wapite juu yake.

Ajabu punda anaona yeye ndio maarufu kuliko aliyembeba anaenda na yeye akatandikiwe vitenge.

Tunaenda kuona vituko
 
Kinachoshangaza ni jinsi mnavyofuatilia watu ambao mlisema walikuwa mizigo, magunia ya misumari, punda n.k. Hawa wanatafuta mahali ambapo wataheshimiwa na kusikilizwa. Rungwe ni msikivu, tofauti na Lissu, Mrema na Mnyika.
Mimi nilidhani wangeenda ACT-WAZALENDO lakini yote ni heri.

Amandla...
Tukujibu au tuko kwenye ignore list?😀😀
 
Back
Top Bottom