PreGE2025 Mrema, Kileo, Kigaila, Salumu Mwalimu, Devotha Minja na G 55 wengine rasmi watua CHAUMMA. Walijifanya kukataa, kiko wapi!

PreGE2025 Mrema, Kileo, Kigaila, Salumu Mwalimu, Devotha Minja na G 55 wengine rasmi watua CHAUMMA. Walijifanya kukataa, kiko wapi!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wote hao ni ma leftovers, sijaona ambaye CDM walau inaweza kusikitika kumpoteza.
.Yaani kifupi ni dili lililokufa, poleni sana CCM, Pole sana Msajili - no any impact at all. Yaani kifupi mmeliwa.

No Reforms.....
No election
 
Ila wachaga kwa hapa wamechemsha.
1. Moza Ally- Mchaga
2. Henry Kileo- Mpare/mchaga
3. Jacob Assenga - Mchaga
4. Devotha Minja- Mchaga
5. John Mrema- Mchaga
6. Godfrey Kinabo- Mchaga

Aisee Mzee wa ubwabwa akaongeze ndumba za kigoma watampora chama
Kumbe una mindset ya hovyo namna hii? Uchagga unakuuma sana eeh?
 
CHAUMMA ndo chama kikuu cha upinzani kwa sasa. Sema hawa G55 kuwatetea ni shughuli pevu mno 😄😄😃😃.... hili kundi limejanasibisha na UCHAGA kiasi kwamba kulitetea ni shughuli.
 
Mkuu

Hao sio G55 bali ni J55. G55 wali malizana hoja zao zenye utata ndani ya chama chao na umoja wao ukaendelea. Hawa J55 (Jiondoe) wameondoka ndani ya chama chao hapasipo kutatua hoja zao na kwenda kujiunga na chama kingine.
Hawa siyo G55. Wale G55 walikuwa ni watu wenye akili, wazalendo wa kweli, siyo hawa akina Mrema wanaotafuta oa kujazia matumbo yao.

Hawa wanaitwa HD55 (HungryDogs55).
 
HAO NDIYO WABUNGE WATARAJIWA KAENI NA LISSU LENU NA KUJITOA AKILI KWENU
 
No wonder tulikuwa hatupigi hatua.

Chama kilijaa madalali na chawa wao.

CHADEMA ni hii ya sasa, siyo Ile.

It's now or never!
Angalia utaingizwa kwenye ignore list yake, atasema umemtukana
 
Back
Top Bottom