PreGE2025 Mrema, Kileo, Kigaila, Salumu Mwalimu, Devotha Minja na G 55 wengine rasmi watua CHAUMMA. Walijifanya kukataa, kiko wapi!

PreGE2025 Mrema, Kileo, Kigaila, Salumu Mwalimu, Devotha Minja na G 55 wengine rasmi watua CHAUMMA. Walijifanya kukataa, kiko wapi!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Reforms ndiyo mwanzo wa hiyo Katiba mpya - mwisho wa matatizo na polisi wa aina hizi:

View attachment 3339044

View attachment 3339045

Wasioona umuhimu wa no Reforms no elections hawawezi kuwa wenzetu ng'ooo!
Askali ana VVV na anakaribia kustaafu unadhani atafanya nini?

Wao wanadhani kufanya kazi kwa bidii kutabadilisha maisha yao.

Elimu hana, hiyo ndiyo ajira inayompa kula unategemea afanye nini?

Yeye anafanya anachoambiwa na wakubwa zake kwa posho ya siku hiyo na mshahara wa mwezi.

Kwanza kumlinda Lisu yeye anajiona kapendelewa, akirudi kambini atasimulia kana kwamba alikuwa anafanya kazi ya kumlinda Rais wa nchi.
 
Askali ana VVV na anakaribia kustaafu unadhani atafanya nini?

Wao wanadhani kufanya kazi kwa bidii kutabadilisha maisha yao.

Elimu hana, hiyo ndiyo ajira inayompa kula unategemea afanye nini?

Yeye anafanya snachoambiwa na wakubwa zake kwa posho ya siku hiyo na mshahara wa mwezi.

Kwanza kumlinda Lisu yeye anajiina kapendelewa, akirudi kambini atasimulia kana kwamba alikuwa anafanya kazi ya kumlinda Rais wa nchi.

Ndiyo maana nasema Tanzania mpya itakuwa mpya kweri kweri!
 
Wamekula ubwabwa lakini?

Maana kwa Hashim Rungwe ukifika sharti ule ubwabwa kisha stori zingine zifuate.

Waacheni waende jamani, hao watafutaji wa maisha, wameshaondoka ya nini kuwabeza.
 
Najiuliza kama CDM wataifanyia kampeni CCM dhidi ya G-55.

Amandla...
Cdm wanataka mabadiliko, hawana akili ya ushiriki wa chaguzi viini macho. Kukiwa na mabadiliko cdm watashiriki na kula vichwa vya kutosha.
 
Benson Kigaila muda wote aliotumia kwenye upinzani wa kweli amekuja kufangiwa ulaghai kwenda CHAUMMA kweli?,
Ila wanasema huwezi mshauri mtu aliyepata mpenzi mpya. Nimeamini kwa Kigaila
 
Kumbe una mindset ya hovyo namna hii? Uchagga unakuuma sana eeh?
HUYUU MZEEE HAJUII HILI KABILA M MCHAGA

AKIJAA KWENYE MFUMOOOO WATAMWAGA KARIMJEEE AENDELEE KUCHEZA NAOOO
 
Kama hakuna jambo la wao kuhama chadema .... Aibu kabisa... Sasa mrema anaweza kugombea jimbo gani kupitia chauma akashinda?. Tz itakuwa kituko cha karne asee.... Chama kisichokuwa na wanachama hata 200 kipate mbunge😂😂😂
 
Back
Top Bottom