Wacha watimize ndoto zao walizodai zinazimwa na chadema za kushinda ubunge. Ni haki yao, uwanja sasa ni wao watuoneshe siasa safi na watuwakilishe vyema Bungeni na kwenye halmashauri watakakapo shinda ubunge na udiwani kwa wingi. Safari hii ccm lazima wakae.
Matapeli WA KUCHAGUA KAZI NIi
Hashim rungwe anauza magari tangu 1970s kweusi..anajielewaNi kituko cha karne kukataa kuongozwa na Lissu na kukubali kuongozwa na Hashim Rungwe,
Mmeanza propagandaHahahahahah
Mrema ni Kichaa aisee
John Mrema kafutwa kazi, sasa mlitaka akalime? ukifukuzwa crdb ukaajiriwa dcb na ukapata mshahara mnono shida iko wapi?Ni kituko cha karne kukataa kuongozwa na Lissu na kukubali kuongozwa na Hashim Rungwe,
Ni kituko cha karne kukataa kuongozwa na Lissu na kukubali kuongozwa na Hashim Rungwe,
Rungwe express bado siti zipo za kutosha. no reforms no electionWakuu,
Informer wenu nipo kwenye Mkutano Mkuu wa CHAUMMA. Nimekuja na hii taarifa ya ndani kabisa kutoka jikoni. Soon watatangaza rasmi.
View attachment 3338928
View attachment 3338927
View attachment 3338929
Halafu ilikufa fasta kama SauliRungwe express bado siti zipo za kutosha