Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.
Ila hao waume wanaweza kufungua lawsuit ....wake zao sawa walimuanza lakini mume na mchepuko wa viola..mume wa mwanamke kujiamini dada mtu na mkwe wake wote wanaground za kumshtaki

akiona kashindwa mbuta na linda ndo anaanza kutukana wengine si ufala huoo
 
Viola huko alipo anajuta masikini, maana kuna mtu kasema huyo mchepuko Samwel Massawe ana ngoma, muda mrefu anashangaa Viola kujiingiza.
Mkewe alishakufa na huo ugonjwa siku nyingi, yaani Viola kaacha si utupu tu bali maini na figo nje.

Jamani watu wajifunze kuanzia sasa, wamuache na maisha yake kabisa huyo Mange.
Maana si laana tu na uchizi ndani, sasa mtu wa hivi wa kazi gani kumtukana? Wakati yeye mwenyewe maisha yake tu kishajitukana.
Lah sivyo watu wataendelewa kutundikwa maisha yao na ukoo wote na huyo Mange.
 
Mie mbona siipati u-turn?au ndio kaniblock tayari???.....mwee nina request tatu tu insta,nahisi pia ni watu wa mange,mna kazi kucreate fake profile mchunguze maisha ya watu ili mpelekee CEO wenu....get a life,you low life suck*ers!!
wehu hao toka juzi wananifollow insta nawapotezea tuuu hapa kuna rekwesti km nne hv nyie mafala kweli nikubali tuu
Kwa heshima ya geniveros na Matola picha ndo imewekwa......
picha gani tena?
 
Last edited by a moderator:
Unafiki tuuu!huwezi ukamsema mwenzio kaolewa na watoto akati na wewe amekukuta na mtoto,pia mwanaume mwenyewe ulitegesha tu ili upate maisha mazuri!!mfyuuuu,,Lilith!!

Hehehe katumia kila ndumba na kujilengesha huko Skype ila anavyomwandama zari na bedui yani huyu bibi hata sijui shida ake nini,kumtukania viola wale watoto wadogo eti vishangingi vya baadae mbona yeye bhoke hatukanwi kwa mabaya, ananitibuaa na hao wapambe wakeee
 

anaona wanamzidi kuanzia kila kitu wapiiiiiiii
mrs mzungu mtaaaaani
 
The epitome of ratchetness and trash masquerading as class!
 
Hehe hehehe chezea fire place ya kwa wakwe kubandukabanduka bado kasingizia ni style eti rangi imetoka ujerumani hahahah, we mange kapime hilo bichwa lako

amefuliiiiaaaaaa mpaka anatumia rangi feki chezeiyyyya laana ya mama weyeeeeee!#
 
Ni mtu wa humuhumu anayekujua kakutus kinyama, wewe na matola marudio ya matusi...
kuna tusi jipya duniani?atukaneee ila ukweli ndo huo mange huyu ndo mama ako asha mapikipiki
 

Attachments

  • 1422289962686.jpg
    49.4 KB · Views: 248
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…