Nanaa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,893
- 3,709
Hivi shoga kwanini huyu bibi hamuonyeshagi mama ake???
Nenda insta page ya nasirtito1 ukamuone mama yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi shoga kwanini huyu bibi hamuonyeshagi mama ake???
Ila hao waume wanaweza kufungua lawsuit ....wake zao sawa walimuanza lakini mume na mchepuko wa viola..mume wa mwanamke kujiamini dada mtu na mkwe wake wote wanaground za kumshtaki
Nenda insta page ya nasirtito1 ukamuone mama yake
wehu hao toka juzi wananifollow insta nawapotezea tuuu hapa kuna rekwesti km nne hv nyie mafala kweli nikubali tuuMie mbona siipati u-turn?au ndio kaniblock tayari???.....mwee nina request tatu tu insta,nahisi pia ni watu wa mange,mna kazi kucreate fake profile mchunguze maisha ya watu ili mpelekee CEO wenu....get a life,you low life suck*ers!!
picha gani tena?
Huogopi???ukute ni mtu wa Mange???nenda na fake profile......week ya nenda na usalama hii,hahahaaaaaa
Unafiki tuuu!huwezi ukamsema mwenzio kaolewa na watoto akati na wewe amekukuta na mtoto,pia mwanaume mwenyewe ulitegesha tu ili upate maisha mazuri!!mfyuuuu,,Lilith!!
Hehehe katumia kila ndumba na kujilengesha huko Skype ila anavyomwandama zari na bedui yani huyu bibi hata sijui shida ake nini,kumtukania viola wale watoto wadogo eti vishangingi vya baadae mbona yeye bhoke hatukanwi kwa mabaya, ananitibuaa na hao wapambe wakeee
anaona wanamzidi kuanzia kila kitu wapiiiiiiii
mrs mzungu mtaaaaani
Hehe hehehe chezea fire place ya kwa wakwe kubandukabanduka bado kasingizia ni style eti rangi imetoka ujerumani hahahah, we mange kapime hilo bichwa lako
kwa nini mamito ?mi siingiagi u turn ujue na siendi ht kidogo km lengo lake niende?Kweli geni kamtikisa chizi
kwa nini mamito ?mi siingiagi u turn ujue na siendi ht kidogo km lengo lake niende?
Ni mtu wa humuhumu anayekujua kakutus kinyama, wewe na matola marudio ya matusi...
Amewatusi kwenye comments au gazeti jipya?
kuna tusi jipya duniani?atukaneee ila ukweli ndo huo mange huyu ndo mama ako asha mapikipikiNi mtu wa humuhumu anayekujua kakutus kinyama, wewe na matola marudio ya matusi...