mbona namjua kitambooo sio leo na hanipi shida wanasema ukimjua mbwa jina unamwita bobyyy bobyyu
hahahhahaaaaShoga nina hamuje na wewe huko chemba?Kuna maubuyu kibao nimewahi kusema nitakutafuta nasahau.Ila huu naomba uwe mmojawapo please!Nataka nimjue huyo pashkuna.
Hahahahaaaa na watanisoma mpaka mwisho.Watu wanafki sana.Eti anajidai wala hayupo huku ila atajiunga kwa ajili ya Nyani Ngabu.
Aseme tu anataka bwana.Utajiungaje JF sababu ya mwanaume?
Ptuuuuu yapo humu humu....the later simpendiii kwel twatofautiana
Dah Lakini ata iweje mama ni Mama Tu aisee ukimsitiri Hamna atakaejuaa mapungufu Yake mbona Daimond anampendaa Mama Yake Sana na Alikuwa Anaishii tandale na ugonjwaa sio tatizo yaani Hawa Kweli ni Washenzi huyo dougiemasta 16 alianza kumtukana Mama Yake zari ni mmchovu ndugu zake zari wakapost Mama Yao ni mgonjwa wa kisukarii na presha na Yupo kwenye matibabu na Baada ya Hapo zari ndio anampost kila siku kuwaonyesha hawaogopi na ujinga wao.Ila nimeumia Kama Kweli ni Mama Yake na Ana mkanaa hii ni laana sio Siri na laana ya Mama ni mbaya!
Haha haaaa mimi sometimes yes and vice versa.
Zamani ndio alikua mtu,nowdays naona heshma inashuka...
Teh teh teh ....shoga tutachambwaje?Tujiandae akitushtukia.
na leo wamemuanika mama ake ambe yeye hataki kumueka kutwaa kucha anamuekaga dk mwele chepuko la mzee wake jamani hv hapo unategemea huyo mama ako mlezi akupende kweli?:what:
mange mtoto wa asha mapikipiki woyolll
ahaaa kumbe wee humpendi lindaaa?!!
It's a crying shame to see a grown ass man like you get caught up in the middle a catfight.
What's in it for you, really?
Cut that bullshit man. You should be above that.
Ukiwa against na tabia chafu ya kimavi unaitwa shabiki maandazi vipi nyie kina mama watu wasima nnaoshabikia matusi mnaitwaje? Mahayawani.....m
Kheee nani huyo anataka kujiunga kwa ajili yangu?
Na kasema wapi huyo mtu kuwa atajiunga kwa ajili yangu?
I hope ni bonge la le totoz, u know.
Am above that, lakini huyu Mwanamke na insane wenzake wanaprovoke watu.
I take ur advice for the while, mapashkuna wake wakiendelea kutuletea usengerema wao nitampa mtu all attachment to end the drama.
mi namuonea huruma tu maana mama ni mam asiemtunza hana maana
Hahahahahahahaha basi kama ni mtu wake wa karibu amwambiee aache kuvua nguo wanawake wenzio mbona hilo yeye alionii na hii Vita hawezi kushinda kuna watu ni vichaa kuliko yeye na tutaendeleaa kucomment tu mie sina haja ya kwenda kwenye Blog lake hapahapa pananitosha!!! Loh
Nadhani kazipata hizi salamu.
Haya wewe bibi uliyenichamba huko kwa Sintah mimi nimekulipa wema.
Nyani Ngabu huyu hapa nimeshamfikishia proposal yako.
Dawa ya mshenzii ni kuwa mshenzii zaidi Yake hawawezii kuacha na yeye ache aandamwe Mbona UKIMWII ni ugonjwaa Wa kawaida watu wanakunywa dawa na kuishi!!! Sema Ndio lazma ujihadhari