Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.
mbona namjua kitambooo sio leo na hanipi shida wanasema ukimjua mbwa jina unamwita bobyyy bobyyu

Shoga nina hamuje na wewe huko chemba?Kuna maubuyu kibao nimewahi kusema nitakutafuta nasahau.Ila huu naomba uwe mmojawapo please!Nataka nimjue huyo pashkuna.
 
Shoga nina hamuje na wewe huko chemba?Kuna maubuyu kibao nimewahi kusema nitakutafuta nasahau.Ila huu naomba uwe mmojawapo please!Nataka nimjue huyo pashkuna.
hahahhahaaaa
 
Hahahahaaaa na watanisoma mpaka mwisho.Watu wanafki sana.Eti anajidai wala hayupo huku ila atajiunga kwa ajili ya Nyani Ngabu.
Aseme tu anataka bwana.Utajiungaje JF sababu ya mwanaume?

Kheee nani huyo anataka kujiunga kwa ajili yangu?

Na kasema wapi huyo mtu kuwa atajiunga kwa ajili yangu?

I hope ni bonge la le totoz, u know.
 
Ivi kumbe Mange ana wafuasi hadi wanaumeeeee! They aint straight
 
  • Thanks
Reactions: Mit
Dah Lakini ata iweje mama ni Mama Tu aisee ukimsitiri Hamna atakaejuaa mapungufu Yake mbona Daimond anampendaa Mama Yake Sana na Alikuwa Anaishii tandale na ugonjwaa sio tatizo yaani Hawa Kweli ni Washenzi huyo dougiemasta 16 alianza kumtukana Mama Yake zari ni mmchovu ndugu zake zari wakapost Mama Yao ni mgonjwa wa kisukarii na presha na Yupo kwenye matibabu na Baada ya Hapo zari ndio anampost kila siku kuwaonyesha hawaogopi na ujinga wao.Ila nimeumia Kama Kweli ni Mama Yake na Ana mkanaa hii ni laana sio Siri na laana ya Mama ni mbaya!

mi namuonea huruma tu maana mama ni mam asiemtunza hana maana
 
  • Thanks
Reactions: Mit
Haha haaaa mimi sometimes yes and vice versa.
Zamani ndio alikua mtu,nowdays naona heshma inashuka...
Teh teh teh ....shoga tutachambwaje?Tujiandae akitushtukia.

Aaah hatutokuwa wa kwanza wala wa mwisho bwana weeee....kwani umechambwa wapi shoga.....hadi mate yananijaa
 
na leo wamemuanika mama ake ambe yeye hataki kumueka kutwaa kucha anamuekaga dk mwele chepuko la mzee wake jamani hv hapo unategemea huyo mama ako mlezi akupende kweli?:what:
mange mtoto wa asha mapikipiki woyolll

Shoga hizo screen shost ulizotuwekea ni shiiidah!Nimejua mengi sana.Jamani kugombana na watu huku unaishi nyumba ya mawe kubaya?
Uwiiiiii,ninavyowapenda wazazi wangu kwa heshma yao sitogombana na mtu in a real life kwa ajili yao.Nimejaribu kuwaza kama ningekua mimi ndio Mange ningejisikiaje?Uwiiiiiiii
 
ahaaa kumbe wee humpendi lindaaa?!!


Naogopa sana kumchukia mtu , huwezi Amini Linda alikuwa Jirani yetu sinza Miaka hiyo mimi bado Mwanafunzi na nilikuwa nampenda sana nikimuona ana Kaka yake ( Siyo Richard) alikuwa anatoka na Jirani yetu fulani Mtoto wa Mkulu hivi , jamaa alikuwa anapenda sana Mazoezi sijui aliishia wapi ..Nimekuja kushangaa alivyoanza ugomvi na Mange na kujiachia Matusi hadi kwa Raisi ! toka hapo nikamuona kumbe yeye na Mange wote sawa tu , Sinachuki naye namshangaaga tu na tukimkandia Mange na Linda naye apewe yake mnamuharibu kumpa kichwa mpaka analambalamba Passport kikubwa ?? No nehi
 
It's a crying shame to see a grown ass man like you get caught up in the middle a catfight.

What's in it for you, really?

Cut that bullshit man. You should be above that.

Am above that, lakini huyu Mwanamke na insane wenzake wanaprovoke watu.

I take ur advice for the while, mapashkuna wake wakiendelea kutuletea usengerema wao nitampa mtu all attachment to end the drama.
 
Kheee nani huyo anataka kujiunga kwa ajili yangu?

Na kasema wapi huyo mtu kuwa atajiunga kwa ajili yangu?

I hope ni bonge la le totoz, u know.

Nadhani kazipata hizi salamu.
Haya wewe bibi uliyenichamba huko kwa Sintah mimi nimekulipa wema.
Nyani Ngabu huyu hapa nimeshamfikishia proposal yako.
 
Am above that, lakini huyu Mwanamke na insane wenzake wanaprovoke watu.

I take ur advice for the while, mapashkuna wake wakiendelea kutuletea usengerema wao nitampa mtu all attachment to end the drama.

Kwani kakutukana na wewe?

Manake isije nikawa nadandia treni kwa mbele ambalo sijui hata lilikotoka na linakokwenda....

Otherwise,ungefanya tu kama nilivyofanya mimi kwa mmoja wao humu ambaye bado anarusha madongo yalokosa ubunifu...nacho ni kupotezea mazima kabisa.
 
Hahahahahahahaha basi kama ni mtu wake wa karibu amwambiee aache kuvua nguo wanawake wenzio mbona hilo yeye alionii na hii Vita hawezi kushinda kuna watu ni vichaa kuliko yeye na tutaendeleaa kucomment tu mie sina haja ya kwenda kwenye Blog lake hapahapa pananitosha!!! Loh

yaani huyu dada anakufwa for mange but hanaga shida kungine
 
Nadhani kazipata hizi salamu.
Haya wewe bibi uliyenichamba huko kwa Sintah mimi nimekulipa wema.
Nyani Ngabu huyu hapa nimeshamfikishia proposal yako.

Okay, ni nani sasa huyo mtu?

Manake nimeona natajwa tu hata sielewi elewi imekuaje....

Kama hutajali tafadhali nifahamishe jina langu limetajwa wapi na nani kalitaja na katika muktadha upi....
 
Dawa ya mshenzii ni kuwa mshenzii zaidi Yake hawawezii kuacha na yeye ache aandamwe Mbona UKIMWII ni ugonjwaa Wa kawaida watu wanakunywa dawa na kuishi!!! Sema Ndio lazma ujihadhari

Naelewa dear, najua dawa ya kiburi jeuri. Namaanisha baada ya hili saga kuisha kabisa.
Watu waliache kama haliishi humu duniani, maana ni vimaneno vya kitoto ambavyo hata yeye huwachokonoa wengi tena zaidi yaa.

Ila ndio kujibu kwake ukaingize ukoo mzima wa mtu, mfano hao wadada wawili aliowaandikia gazeti.
Ndoa zao masikini, na familia, marafiki wanachukuliaje, kama yule aliyetukanwa king kong aah ni mwehu hasa na laana juu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom