Zari mwenyewe anaoenda kujishow off
Mnamshambulia mange wakati zari kapata umaarufu aliokuwa anautafuta
Viazi kweli nyie tena viazi vicherema
Hao mastaa mavi ya kuku wanawatumia na nyie mnatumika bila kujua
Eheee swadakta ndiyo huyo huyo jamani alimtukanaga mdada wa watu ukiangalia chanzo ni wivu tu hakuna kingine. Nikikukumbuka alivyokuwa anakula bata na Kiki Dubai sikutegemea kuna siku atamchukia Kiki kiasi hicho. Mange asipoangalia ataungana na professa Maji marefu siyo siri.

Wewe Zari umaarufu TZ kujulikana zaidi au?
Mbona kwao ni miaka mingi sasa na huko SA napengineo
si umgugo ujioneeeeeeeee
Zari mwenyewe anaoenda kujishow off
Mnamshambulia mange wakati zari kapata umaarufu aliokuwa anautafuta
Viazi kweli nyie tena viazi vicherema
Hao mastaa mavi ya kuku wanawatumia na nyie mnatumika bila kujua
Hamna cha kunogesha wala nini.Kuandika mgazeti kama ule plus muda wakusoma coments zote ili azi approve plus kujibu kwa kuandika micoment mireefu unadhan atatumia dkk 2?.Ukute ka Keanu ka watu kameoza kalio kwa kuunguza na diaper anazokaa nazo muda mrefu bila kubadilishwa poor little prins with a bad mother.
Mange anawapenda wanawe ila moyo wake umetawaliwa na wivu na roho mbaya ndo maana watoto wake wanateseka.
IM sure kuna Bhoke wakirud shule wanaishia kula sandwich coz mamy is busy triying to pull sucessfull women down.
Na wewe una "depresion", mbona umeandika ligazeti refu ambalo hata halivutii kumponda Mange kwa kitu ambacho huna uhakika nacho kama ni kweli au uongo??! Mange hajaponda utajiri au mafanikio ya Zari ila ameponda tabia ya mtu ambayo haina uhusiano na mali zake.
Fikiria kabla hujamponda mtu.... Am sorry manake na mimi ntaonekana mwanaume mmbea kuingilia mambo ya wadada.
Depression mtu haongei sana , labda km unazungumzia mania.
Hiko kimange kimambi ni kimtu cha hovyo sana.
Ndiyo maana amepauka pauka pamoja na kujitutumua.
Kufwa for me kama nakunyima usingizi.
Zari ana miaka 40 Ivan ana miaka 30 na Potter ana miaka 25.
Sifi leo, kesho, keshokutwa, wala mtondogoo.
Wewe ni mzushi na msabasi wa kiume.
Badilika.
Mimi siyo kinyonga.
Nioneshe ni wapi nilisema Le mutuz ana miaka 60? Mnafiki wewe.
Depression mtu haongei sana , labda km unazungumzia mania.
Hiko kimange kimambi ni kimtu cha hovyo sana.
Ndiyo maana amepauka pauka pamoja na kujitutumua.
Alikuwa na mapesa akatumia kama fimbo za kuwatombea wengine akawekea mtego akanasa akaliwa samvu la kopo video kwenye VHS wakapelekewa wake zake wote wawili wajionee mume wao alivyovalishwa shanga na kupigwa ukuni.
Huyu Mange anapata wapi jeuri ya kutukana watu? Mimi namchukulia yuko insane othewise mtu aniprove wrong with vivid evidence.
umeonaaa eeeh siku zinavyoongezeka watu tunazidi kujiuliza ni mtu wa aina gani huyu?
wanaendaga kutuchamba kwa sintah misukule yake