Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.
Eheee swadakta ndiyo huyo huyo jamani alimtukanaga mdada wa watu ukiangalia chanzo ni wivu tu hakuna kingine. Nikikukumbuka alivyokuwa anakula bata na Kiki Dubai sikutegemea kuna siku atamchukia Kiki kiasi hicho. Mange asipoangalia ataungana na professa Maji marefu siyo siri.

aungane nae mara ngapi?!!
ukiwa na wivu na chuki kupitiliza tayari we mchawi..!!
na sijui km haruki na nyungo!!
 
Zari mwenyewe anaoenda kujishow off

Mnamshambulia mange wakati zari kapata umaarufu aliokuwa anautafuta

Viazi kweli nyie tena viazi vicherema

Hao mastaa mavi ya kuku wanawatumia na nyie mnatumika bila kujua

Wewe Zari umaarufu TZ kujulikana zaidi au?

Mbona kwao ni miaka mingi sasa na huko SA napengineo

si umgugo ujioneeeeeeeee
 
Wewe Zari umaarufu TZ kujulikana zaidi au?

Mbona kwao ni miaka mingi sasa na huko SA napengineo

si umgugo ujioneeeeeeeee

na mi nimeanza mjua mda kweli labda ye alokuja mjini kwa mbio za mwenge
 
Zari mwenyewe anaoenda kujishow off

Mnamshambulia mange wakati zari kapata umaarufu aliokuwa anautafuta

Viazi kweli nyie tena viazi vicherema

Hao mastaa mavi ya kuku wanawatumia na nyie mnatumika bila kujua

zari mbona maarufu kitambo sana mwenyewe kishasema hatafuti umaarufu ila umaarufu ndo unamfata...
 
Hamna cha kunogesha wala nini.Kuandika mgazeti kama ule plus muda wakusoma coments zote ili azi approve plus kujibu kwa kuandika micoment mireefu unadhan atatumia dkk 2?.Ukute ka Keanu ka watu kameoza kalio kwa kuunguza na diaper anazokaa nazo muda mrefu bila kubadilishwa poor little prins with a bad mother.
Mange anawapenda wanawe ila moyo wake umetawaliwa na wivu na roho mbaya ndo maana watoto wake wanateseka.
IM sure kuna Bhoke wakirud shule wanaishia kula sandwich coz mamy is busy triying to pull sucessfull women down.

Na wewe una "depresion", mbona umeandika ligazeti refu ambalo hata halivutii kumponda Mange kwa kitu ambacho huna uhakika nacho kama ni kweli au uongo??! Mange hajaponda utajiri au mafanikio ya Zari ila ameponda tabia ya mtu ambayo haina uhusiano na mali zake.

Fikiria kabla hujamponda mtu.... Am sorry manake na mimi ntaonekana mwanaume mmbea kuingilia mambo ya wadada.
 
Naona nawe mdau wake

haya tuandikie aliyompondea tukuelewe unatetea nini.

Kama kuacha watoto mwaka mpya na baba yao ni vibaya haya sema, kama kuACHAna NA KUTOKA NA MWANAUME MWINGINE UKIENDELEA NA MAISHA VIBAYA haya sema, maana hadi sasa hakuna anayejua wazazi hao wanaishije na wanapangaje kulea watoto wao. kuna maongezi ya wazazi uwa ya wazazi na mipango.

pia ukijibu kumbuka Mange hakumlea mwanae amelelewa na kusaidiwa na mama wa kambo yaani mke wa baba mtoto wake wa kwanza wakati akiwa busy kukitembeza kutafuta mzungu hadi dubai.
 
Depression mtu haongei sana , labda km unazungumzia mania.
Hiko kimange kimambi ni kimtu cha hovyo sana.
Ndiyo maana amepauka pauka pamoja na kujitutumua.
 
Kufwa for me kama nakunyima usingizi.

Zari ana miaka 40 Ivan ana miaka 30 na Potter ana miaka 25.

Sifi leo, kesho, keshokutwa, wala mtondogoo.

Wewe ni mzushi na msabasi wa kiume.

Badilika.
 
Kweli hata mimi ananiboa kama hili sakata la Zari amelikomalia utafikiri amechukuliwa mume. Yaani anamtafuta Zari uchokozi kwa nguvu zake zote.
 
Mimi siyo kinyonga.

Nioneshe ni wapi nilisema Le mutuz ana miaka 60? Mnafiki wewe.

Wewe una mbinu za kishamba kweli.

Yaani unataka kubadili kibao kitoke kwa Zari kiende kwa Le Mutuz?

Jinga is as jinga does.

Umejuaje Zari ana miaka 40?
 
Depression mtu haongei sana , labda km unazungumzia mania.
Hiko kimange kimambi ni kimtu cha hovyo sana.
Ndiyo maana amepauka pauka pamoja na kujitutumua.

I meant ana manic depresion or mania as u said which still ni depresion.Hii ndio inamfanya mtu anaongea sana kama Mange.Lol

Yeah alivyokua Dubai alikua anapendeza sana.
 
Alikuwa na mapesa akatumia kama fimbo za kuwatombea wengine akawekea mtego akanasa akaliwa samvu la kopo video kwenye VHS wakapelekewa wake zake wote wawili wajionee mume wao alivyovalishwa shanga na kupigwa ukuni.

Huyu Mange anapata wapi jeuri ya kutukana watu? Mimi namchukulia yuko insane othewise mtu aniprove wrong with vivid evidence.

Mhhh.
Hatari hii.
 
umeonaaa eeeh siku zinavyoongezeka watu tunazidi kujiuliza ni mtu wa aina gani huyu?
wanaendaga kutuchamba kwa sintah misukule yake

Mi najiuliza hivi mumewe akisoma ile article jinsi Mange alivyokua akiwinda kupata mume mwenye hela atajisikiaje?
Si ataona kaoa gold diger.Halafu kama lengo ni kuolewa na mwenye nazo siku mumewe mambo yakimuendea hovyo Mange atabaki na Mume chokest au ndo ataingia tena viwanja kuwinda mwingine mwenye nazo?
Too many questions.
 
Eheee swadakta ndiyo huyo huyo jamani alimtukanaga mdada wa watu ukiangalia chanzo ni wivu tu hakuna kingine. Nikikukumbuka alivyokuwa anakula bata na Kiki Dubai sikutegemea kuna siku atamchukia Kiki kiasi hicho. Mange asipoangalia ataungana na professa Maji marefu siyo siri.

Eti kisa Tedy alimpa shout out kwenye blog yake ndo Mange akamind.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom