Mange hana furaha kabisa, ni aina ya watu wakiwa hivyo kushambulia mtu mwingine kwa maneno inampa afueni.
Fikiria mtu uwe na furaha kama anavyojitanabaisha kwenye blog yake, halafu uanze kuhangaika na kila mtu anayekutupia vineno, ambavyo hata wewe huwatupia.
Hao wanaowekewa contacts za waume zao, nao wanashindwa nini kutafuta namba ya Lance waianike na anwani anapoishi?
Maana hali ilipofika ni mwaga ugali nimwage mboga.
Na alipofikia ni uchizi wa kuweza kufanya chochote, yeye ndio wa kupimwa na si mbuta nanga.
Sijui kwanini wanablog wake hawamsaidii, wanajifanya kumshabikia lakini wakiwa pembeni wanamng'ong'a.