Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.
Hahaha, mbona unajichanganya na maneno yako, umesema ulaya hakuna issues mana kibongobongo hata US ni Ulaya. So why are telling me upo Us?

Na wewe umetuambia upo Europe ili iwejeeeee, ,,,,,,usifananishe post soma vizuriiii
 
Baelezeeee!!alafu tabia ya kujisifu unakaa Europe akati nduguzo wapo nanjilinji wanakula ugali wa muhogo na chumvi sio sawa kabisa ni ulimbukeni mkubwa!!unauliza kazi hatufanyi,atleast sie kuliko kuosha vibabu na kujisifu upo europe kumbe unatega mingo uopoe jibabu la kirusi!

Alaaaaaaaaaaaaa badala akasuuze k huko anafungua id kuja kujisemesha yupo europe bar
 
So you live in Europe!!kwi kwi kwi!!umeanza matusi hapa hakuna gay wala lesbian umegonga mwamba,

Really, self defence. Mtu ukiwa mwizi hata km hujaiba unajihami. Nani ametaja lesbian. Shame on you. Kumbe LESBIAN wa great thinker
 
Niliomba visa nikanyimwa!?mimi au wanifananisha,unapafahamu Burmingham?!ulaya haupo peke yako!!
Ikitokea chance anyone should grab ila isiwe ya kujitegesha kama somo la bibi yenu!

Hata Birmingham yenyewe kuiandika hujui, uki graduate wapi, kwenye cleaning job?
 
Hela ya kula hadi ufanye cleaning, hujarudi kwenu mwaka wa kumi hadi ndg zako walidhani umekufa. Ukabakia na umaarufu wa jamii forum

Eeee kumbe tunaishi woteeee,,,,,hayaa mwambie mange nimemtafutia dokta nataka amtibu atapona maana salalaa mbayaaaa etiii eee
 
Really, self defence. Mtu ukiwa mwizi hata km hujaiba unajihami. Nani ametaja lesbian. Shame on you. Kumbe LESBIAN wa great thinker

Umemwita Matola gay au kichaa kimekupanda?u don't wanna start with me!unadhani hatujui Mange alikua anasagwa na kukobolewa mpaka kidude kikadidimia ndani!!Wacha matusi utaondoka bila kuaga dear one!!Diplomacy!
 
Last edited by a moderator:
Eeee kumbe tunaishi woteeee,,,,,hayaa mwambie mange nimemtafutia dokta nataka amtibu atapona maana salalaa mbayaaaa etiii eee

Si unajiamini nenda ka comment kwenye IG page yake with your real name
 
Ha ha ha ha, ngoja na ww nikustiri tuu. Unajua why?

We realy don't care usitujaribie mjadala kwa kebehi matusi na fedheha zako!!Mwambieni Mange yeye ni mama anataka kuvunja record ya kugombana na wanawake wote!kana hajasoma jamani!!
 
Mange hana furaha kabisa, ni aina ya watu wakiwa hivyo kushambulia mtu mwingine kwa maneno inampa afueni.
Fikiria mtu uwe na furaha kama anavyojitanabaisha kwenye blog yake, halafu uanze kuhangaika na kila mtu anayekutupia vineno, ambavyo hata wewe huwatupia.

Hao wanaowekewa contacts za waume zao, nao wanashindwa nini kutafuta namba ya Lance waianike na anwani anapoishi?
Maana hali ilipofika ni mwaga ugali nimwage mboga.
Na alipofikia ni uchizi wa kuweza kufanya chochote, yeye ndio wa kupimwa na si mbuta nanga.
Sijui kwanini wanablog wake hawamsaidii, wanajifanya kumshabikia lakini wakiwa pembeni wanamng'ong'a.
 
Umemwita Matola gay au kichaa kimekupanda?u don't wanna start with me!unadhani hatujui Mange alikua anasagwa na kukobolewa mpaka kidude kikadidimia ndani!!Wacha matusi utaondoka bila kuaga dear one!!Diplomacy!

If Mange alikuwa anasagwa ni her business w wala simtetei. Ila kuna nyinyi mnaojitia wasafi my ass, mnajificha kwenye keyboard na fake IDs.

Ni vizuri kuacha unafki, hasada na roho za kwanini
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom