Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.
Wanakuogopaa ndio maana wanaenda mtaa wa pili kumbe wanapitaga Huku hahahahahahahaha

Hahahaaaaa na wananiogopa kweli.Mtu kama anajiamini aje ajaribu huu mziki dadadeki atajuta!Sina muda wa kwenda kuchambana na mashangingi ya kwenye blogs mimi.
 
hv yule anampenda nani?zaidi ya ye mwenyewe na huyu nasritio yaonekana ni ndugu yake mange kwa mama ake

Uwiiiiiii geniveros wangu leo wamekuchokoza best angu.Hizo screenshots unazotupia tamuje?Sina haja ya kwenda insta tena.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa na wananiogopa kweli.Mtu kama anajiamini aje ajaribu huu mziki dadadeki atajuta!Sina muda wa kwenda kuchambana na mashangingi ya kwenye blogs mimi.

Ni iviii, bata maji ukimkera humu anashindwa kukuqote anaenda kukusema kule...
 
mwisho kutembelea makaburini alikolala dec 26 last year mama angu mlezi leo nimemtumia pesa ya asante kunilea?una lingine?

Pole Mwaya .....Ubarikiwe kwa Moyo huo Mpendwa Mungu akufanye uwe Mpatanishi si mchocheaji moto Mamii

Mithali 18:24
 
sio mange huyu ila ni mtu wake karibu sana huyu mi nampendaga tu huyu dada sifichi ila ananikera ana matusi huyu nyasamaki usihis najipendekeza kwako wala na ht usiponipenda shauri yako

Hahahahahahahaha basi kama ni mtu wake wa karibu amwambiee aache kuvua nguo wanawake wenzio mbona hilo yeye alionii na hii Vita hawezi kushinda kuna watu ni vichaa kuliko yeye na tutaendeleaa kucomment tu mie sina haja ya kwenda kwenye Blog lake hapahapa pananitosha!!! Loh
 
Hata mimi nakupenda unaonekana Mwanamke kamili kwenye baadhi ya Issues ila kulalia Upande MMoja akisemwa Mange au Wema ndio hapooo hatuongei lugha Moja ! sioni uzuri wa chizi Linda hata siku moja ......anashindana na Mange mpaka anaonyesha kweli Passport ! No No nao machizi tu Anyway maisha tu

ahaaa kumbe wee humpendi lindaaa?!!
 
Hahahahaaaa uwiiiiiii ngoja nitegeshe alarm kabisa.
Please Matola usitudissapoint ankal wangu!

Siyo leo kitanuka siku hizihizi.

Am the Man take my word, i never fail to fulfill any promise i promised.
 
Last edited by a moderator:
Ni iviii, bata maji ukimkera humu anashindwa kukuqote anaenda kukusema kule...

Hahahahaaaa na watanisoma mpaka mwisho.Watu wanafki sana.Eti anajidai wala hayupo huku ila atajiunga kwa ajili ya Nyani Ngabu.
Aseme tu anataka bwana.Utajiungaje JF sababu ya mwanaume?
 
Pole Mwaya .....Ubarikiwe kwa Moyo huo Mpendwa Mungu akufanye uwe Mpatanishi si mchocheaji moto Mamii

Mithali 18:24

asante kwa pole mi sio mchochezi ila hujawhi nisoma mwanzo mi mange nilianza kumidiss nilovyogundua anagombana na kila mtu ina ye ndo victim peke ake na sasa hv nagundua ana shida kweli kabisa
 
Hahahahaaaa na watanisoma mpaka mwisho.Watu wanafki sana.Eti anajidai wala hayupo huku ila atajiunga kwa ajili ya Nyani Ngabu.
Aseme tu anataka bwana.Utajiungaje JF sababu ya mwanaume?

Ptuuuuu yapo humu humu....the later simpendiii kwel twatofautiana
 
Ngachoka Mie in Frola Voice , haya ohoo Mange Mashauzi nao watu wazima wanaposti saa na cheni za Gold IG ! Kweli unapost Sebule yaani imejaa hata haieleweki ! sasa nayo kama si Mashauzi ni nini vile? Maonyesho ya sabasaba ?? Sijawahi ona kina Nancy sumari na kundi lake wamecomment kwenye ujinga ,na wanachambwa sana why ? sababu hao ndio waliostaarabika , ila yeyote anayebishana na Mange yeye ndiye chizi nambari moja ! Hebu fueni hata Boxer za waume zenu bwana achaneni na ushabiki Maandazi , Ndao zenyewe za Kibongo !

eeeheee full mishungi wengine alafu wanatukana watu ig yani sikutegemea msichana kama yule atukane watu sasa muone mumewe khaa mungu anisamee
 
Hahahahahahahaha basi kama ni mtu wake wa karibu amwambiee aache kuvua nguo wanawake wenzio mbona hilo yeye alionii na hii Vita hawezi kushinda kuna watu ni vichaa kuliko yeye na tutaendeleaa kucomment tu mie sina haja ya kwenda kwenye Blog lake hapahapa pananitosha!!! Loh

na leo wamemuanika mama ake ambe yeye hataki kumueka kutwaa kucha anamuekaga dk mwele chepuko la mzee wake jamani hv hapo unategemea huyo mama ako mlezi akupende kweli?:what:
mange mtoto wa asha mapikipiki woyolll
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom