Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Wanakuogopaa ndio maana wanaenda mtaa wa pili kumbe wanapitaga Huku hahahahahahahaha
Hahahaaaaa na wananiogopa kweli.Mtu kama anajiamini aje ajaribu huu mziki dadadeki atajuta!Sina muda wa kwenda kuchambana na mashangingi ya kwenye blogs mimi.