Mrembo byongo live on muosha rungu TV show!

Mrembo byongo live on muosha rungu TV show!

simu yangu imeisha MB mpaka nitoke hapa nilipo ndo naweza unga bundle

nipo na computer nayo sielew elew tumia JF na computer...nkiwa slow muelewe!
 
Hapana..

Ila yan nlimuona mdgo wangu akiwa flat belly,tumbo likaanza kukua,mpka Siku anashikwa na uchungu nlikua nae,anaenda hospitali then afta few hours naambiwa kuna mtoto..aisee!!!,,,yan yule mtoto namshangaaga mpka

Sent using Jamii Forums mobile app
Unapanga kuzaa watoto wangapi

DJ sepetu
 
Back
Top Bottom