Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Niliyafurahia kiasi kama asilimia 50 tu.......nlikosa upendo wa baba so kwa sasa naona kama vile dah sijui nisemajeMalezi yako uliyafurahia?
Kwa asilimia ngapi
Nini unaona ulikikosa utotoni ambacho kina Ku cost sasa!
DJ sepetu
[emoji32][emoji32][emoji32]......kama huna chura hutakiwi JF!!.....unalijua hilo???
[emoji13][emoji13][emoji13]sawa mjombaShangazi naomba kesho nikufanyie interview mimi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio ninachokupendea ujue [emoji1][emoji1]
Cheki hili ndezi[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji90] [emoji90] [emoji90]Ndio ninachokupendea ujue [emoji1][emoji1]
Story ndefu na nsingependa kuihadithia hapa50% only
Kwann upendo wa baba
Baba alikuaje?
DJ sepetu
Tanga raha atii,karaha waachiwe wabaraSipendi kujichosha siwajua
Toa matope ako hapa[emoji90] [emoji90] [emoji90][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muosha rungu huyu bidada anaharibu interviewToa matope ako hapa[emoji90] [emoji90] [emoji90]
Namkumbuka kwa kunipa malezi mazuri na yenye maadili na sasa nazidi kumkumbuka kwa kua ndiye aliyenisomesha kuanzia mwanzo mpk nlipofikia napenda kumshukuru na kumtakia maisha mema na marefu hapa duniani....yeye ni mama boraPole sana zesh!
Mama yako unamkumbuka kwa nn hasa utotoni mwako Na sasa?
Je yeye ni kati ya mama bora?
DJ sepetu
Hongera mama yetu!Namkumbuka kwa kunipa malezi mazuri na yenye maadili na sasa nazidi kumkumbuka kwa kua ndiye aliyenisomesha kuanzia mwanzo mpk nlipofikia napenda kumshukuru na kumtakia maisha mema na marefu hapa duniani....yeye ni mama bora
Hapana skumbuki kama kuna tukio liliwahi nifurahisha kias cha kuliweka ktk kumbukumbuHongera mama yetu!
Tukio gani la kufurahisha unalikumbuka sana!
Kwann kama lipo
DJ sepetu
Kweli we mmatumbi.Bahati mbaya kuna mvuvi hodari alishafika kitambo akavua mpk mayai ya samaki