Mrembo live interview on muosha rungu show

Mrembo live interview on muosha rungu show

Pole sana zesh!
Mama yako unamkumbuka kwa nn hasa utotoni mwako Na sasa?
Je yeye ni kati ya mama bora?

DJ sepetu
Namkumbuka kwa kunipa malezi mazuri na yenye maadili na sasa nazidi kumkumbuka kwa kua ndiye aliyenisomesha kuanzia mwanzo mpk nlipofikia napenda kumshukuru na kumtakia maisha mema na marefu hapa duniani....yeye ni mama bora
 
Hongera mama yetu!
Tukio gani la kufurahisha unalikumbuka sana!
Kwann kama lipo

DJ sepetu
 
Bahati mbaya kuna mvuvi hodari alishafika kitambo akavua mpk mayai ya samaki
Kweli we mmatumbi.

Naomba kazi yakuanza kufuga samaki kwenye kisima cha moyo wako maana uyo mvuvi kavua mpaka mayai.
 
Back
Top Bottom