RAGNAR LOTH
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 698
- 1,589
Wala Usijaki,kukosolewa ni part ya maisha.
Pesa ni liquid asset tho bro...
Yeah of coz but according to my qstn, i mean't the fixed ones which produce this so called " Pesa".
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wala Usijaki,kukosolewa ni part ya maisha.
Pesa ni liquid asset tho bro...
Liability??? Hili Swali sijalielewa kuendana na uelewa wangu..liability?? Hebu nidadavulie hili SwaliNi liability gani katika maisha yako which you can't wait to have them no matter how costly they might be.
Yes since Wateja wangu wengu ni wa maofisini
OK. Hapo nimekuelewa. Niwe mkweli...Yeah of coz but according to my qstn, i mean't the fixed ones which produce this so called " Pesa".
Liability??? Hili Swali sijalielewa kuendana na uelewa wangu..liability?? Hebu nidadavulie hili Swali
Nimeoa na nina heshimu ndoa yngu sababu nilihangaika sn mpk kuoa,so nipenda na nailinda sana,just emagine ss hiv namsaidia wife kupika yy ananyoosh nguo za job kesho[emoji23][emoji23][emoji56][emoji56] kuna upendo kam huo kwel jaman swaiba wa series??Ha ha ha ha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we bachelor au umeoa?? Tuanzie hapo
Mimi uniulize maswali ya maana
Anhaa. Duh!!wana Nilikuwa nikilidadavua sipati signal.Liability-- things which draw money out of your purse without any return.
Mf, Nyumba ya kuishi, Cars etc etc.
Haya na wewe ulisema unataka kuniulza Swali,ulizaMimi uniulize maswali ya maana
Sawa,wewe ni mteja wangu. Mkeo atakupikia bidhaa yangu.Nimeoa na nina heshimu ndoa yngu sababu nilihangaika sn mpk kuoa,so nipenda na nailinda sana,just emagine ss hiv namsaidia wife kupika yy ananyoosh nguo za job kesho[emoji23][emoji23][emoji56][emoji56] kuna upendo kam huo kwel jaman swaiba wa series??
Sio kwel kwa mfano ukisema nimesoma CBE, UD au IFM hamn kitakachoharibika coz hujaweka picha na jna lako halisBora ionekane sijiamini,kuna watu watanijua ambao ni family to me.
Opportunity zipi unawashauri vijana wazichangamkie Tz.?
Kitu gani / maamuzi gani wazazi wako waliwahi kuyafanya juu yako unawalaumu hadi leo
Anhaa. Duh!!wana Nilikuwa nikilidadavua sipati signal.
Nyumba na gari..
Hapana kaka angutafadhal
Sent from my Android phone
Ndio uyo uyo [emoji24] [emoji24] [emoji24]Niliona nikapita kutoa RIP. Yule alitoka mvalisha Pete mchumba wake??
Make fasta tuunganishaneSawa,wewe ni mteja wangu. Mkeo atakupikia bidhaa yangu.
Sasa mbon hujiamin hutak kutangaz biashar yako au unatuzarau wateja wa jfHapana kaka angu
Hahahhahaha usije kimbiaHaya na wewe ulisema unataka kuniulza Swali,uliza
Tatizo magu amebana watu hadi wanayachukia mapenzi ukiuliza swali wanadai halina maanaMimi uniulize maswali ya maana