TheCrocodile
JF-Expert Member
- May 31, 2021
- 1,864
- 5,254
Ni celebrity wa nini huyo?Mrembo kutoka Tanzania, Rushyna, amewaacha watu mdomo wazi baada ya kushindwa kuzungumza Kiingereza alipokaa mbele na kuitwa Mbele Kama Celebrity wakati wa Mashariki Creative Economy Expo 2026.
Tukio hilo lilizua mshangao miongoni mwa waliohudhuria, huku Legend wa muziki Afrika, Vyonne Chakachaka, akionekana kushangazwa na hali hiyo na kusema, "Hee Tanzania!"
Baadhi ya watu waliotoa maoni yao wamesisitiza kuwa mtu anapokuwa hajui kabisa kuzungumza Kiingereza katika hafla ya kimataifa, ni vyema kwenda na mkalimani ili ujumbe uweze kufikishwa vizuri na kuepusha hali inayoweza kuleta taswira mbaya kwa Taifa huku wengine wakisema sio dhambi Yeye Kutokujua Kabisa Kingereza
Nini maoni yako?
Video: https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/193uxfXjcm/
Kuuza nyapu😂Ni celebrity wa nini huyo?
Celebrity wa ManaraNi celebrity wa nini huyo?
Two in one😂😂Huyo kwenye picha na kwenye video sio mtu mmoja.
Celebrity wa mchongo😂😂Celebrity wa Manara
Kwenye picha ameng'aa zaidi lakini ukimuona live sio mbaya ni mzuri MashaAllah.!Huyo kwenye picha na kwenye video sio mtu mmoja.
Tungezingatia lugha ya malkia kama Kenya na Uganda.Ni celebrity wa nini huyo?
Kama hujui Kingereza tunaongea tu lugha yako unatafsiriwaTungezingatia lugha ya malkia kama Kenya na Uganda.
CHAIMrembo kutoka Tanzania, Rushyna, amewaacha watu mdomo wazi baada ya kushindwa kuzungumza Kiingereza alipokaa mbele na kuitwa Mbele Kama Celebrity wakati wa Mashariki Creative Economy Expo 2026.
Tukio hilo lilizua mshangao miongoni mwa waliohudhuria, huku Legend wa muziki Afrika, Vyonne Chakachaka, akionekana kushangazwa na hali hiyo na kusema, "Hee Tanzania!"
Baadhi ya watu waliotoa maoni yao wamesisitiza kuwa mtu anapokuwa hajui kabisa kuzungumza Kiingereza katika hafla ya kimataifa, ni vyema kwenda na mkalimani ili ujumbe uweze kufikishwa vizuri na kuepusha hali inayoweza kuleta taswira mbaya kwa Taifa huku wengine wakisema sio dhambi Yeye Kutokujua Kabisa Kingereza
Nini maoni yako?
Video: https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/193uxfXjcm/
Daslamu kuna fursa za ajabu ajabu kweliCelebrity wa Manara
Famasiala nini!, mrembo ndo hivyo tena eti kashindwa kusema "nimedhaminiwa na serikali ya mama mpaka kufika hapa" kwa kiingereza.Famchezo nini...
Umecheki Video?CHAI
Hahahahaha😂😂Famasiala nini!, mrembo ndo hivyo tena eti kashindwa kusema "nimedhaminiwa na serikali ya mama mpaka kufika hapa" kwa kiingereza.
Ngoja Waje WasemeNi celebrity wa nini huyo?